Wakenya Wana highly protectionism policy, billionaire mtanzania Rostam pekee alitaka kuwekeza 130millions dollars hizi ni pesa nyingi kwa mtu mmoja kuwekeza alienda mbaka kwa uhuru Kenyata toka 2017 mbaka leo anapigwa chenga tu wanamzuia kuwekeza , ushaur kwa Raisi Samia asifungue milango yote ya uwekezaji kwa wakenya maana wao wanatuzuia watanzania kuwekeza kwao