ukiwa mgonjwa......................E ndelea tuchangie

ukiwa mgonjwa......................E ndelea tuchangie

Chaz C

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
12
Reaction score
4
Watu tunashangaza sana mtu akiwa anaumwa mahtuti na hana uwezo akiomba msaada kila anasema hana kitu. Akisha fariki michango ya watu inakaribia milion. Hapo inakuaje? Inamaana kifo ni muhimu kuliko uhai
 
Back
Top Bottom