Ukiwa kwenye mahusiano mapya angalia hili!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,577
8,596
Unajua unapokuwa kwenye mahusiano mapya nimengi hutokea namengine huwa niyakuudhi hivyo ujikuta unakaa kimya ili usije ukamudhi mwenza wako katika hili pendo jipya!!
Sasa basi ukiona unampenzi mpya umeenda naye out haza katika hizi baa zetu za mjini hapa Dar hata kwingine au hata CALABASH!ukaona kila machinga anapita anataka kununu kila kitu fahamu kwamba huyo mpenzi wako ana walakini kama niwakike ananua mara rangi wanja,brasia,hereni,Huyo siyo kamua anza!!Na kama wakiume unaona mara anataka soksi,mkanda,Tochi,vest mwache kunywa bia mpige karenda tawanyika iwe byebye!!Mtu makini hawezi kununua vitu baa!!!Lazima huwe na programe ya kufanya shopping ya mahitaji yako!!:painkiller:
 
Muda wa kwenda shopping ndio kikwazo.
Nikiwa bar, ndo napata nafasi ya kununua, kwani muda nitokao kwenye mihangaiko yangu, maduka huwa yamefungwa
 
Ndio manake, sasa tusiponunua bar wale chinga wakale wapi?polisi?
 
Muda wa kwenda shopping ndio kikwazo.
Nikiwa bar, ndo napata nafasi ya kununua, kwani muda nitokao kwenye mihangaiko yangu, maduka huwa yamefungwa

Mhnnnn!!Ndo unanua Mkanda wa plastic,Soksi za nylon,Chupi imeandikwa TMK wanaume,Flana ya ndani ya mpira!!Hapana inabidi ujipangie vya mda wakununua mahitaji yako!sasa unamwonyesha mpenzi wako kwamba wewe hivyo vitu hukuwa navyo au??
 
  1. kama niwakike ananua mara rangi wanja,brasia,hereni,Huyo siyo kamua anza!! (too biased)
  2. Na kama wakiume unaona mara anataka soksi,mkanda,Tochi,vest mwache kunywa bia mpige karenda tawanyika iwe byebye!! (kwani wao hawataki kumegwa kidogo?)
 
Ni kweli tabia ya kununua vitu hovyo inaonesha jinsi gani mtu alivyo disorganised na asiye kuwa na mipango. kama muda wa kutoka out na demu wako unao huwezi kukosa muda wa kwenda shoping na uzuri siku hizi yapo maduka kibao ya nguo na urembo yanafungwa sa 4 usiku
 
Sasa kwani hata nikinunua kwa pesa yangu nini kinakukwaza? pointless!!!!
 
KK baa ndo shoping inafanyika poa unataka sisi machinga tukauzie wapi? Pale ndo poa shati ya buku 5 unaipiga kwa 9 huoni ndo mchezo fresh laga ishapanda haangalii bei akili mkuchwa broo
 
ili tusinunue vitu baa basi wamachinga wapigwe marufuku kuingia baa Je na hizi boutique ambazo ziko karibu na baa zifungwe au?
 
Kuna baa zimeandikwa machinga marufuku!!ukitia kwato wamechukua bidhaa zako unazouza nenda pale ilala africenter na makubasi yako unauza kama hauja yaacha!!
 
KK baa ndo shoping inafanyika poa unataka sisi machinga tukauzie wapi? Pale ndo poa shati ya buku 5 unaipiga kwa 9 huoni ndo mchezo fresh laga ishapanda haangalii bei akili mkuchwa broo

Kuna vitu vya kununua siyo unanunua kipuuzi kwa mfano kinapita kiatu bomba cha mtumba hiyo unaweza ukanunua siyo sokis,radio,tochi,keyolder,flana.etc
 
Unajua unapokuwa kwenye mahusiano mapya nimengi hutokea namengine huwa niyakuudhi hivyo ujikuta unakaa kimya ili usije ukamudhi mwenza wako katika hili pendo jipya!!
Sasa basi ukiona unampenzi mpya umeenda naye out haza katika hizi baa zetu za mjini hapa Dar hata kwingine au hata CALABASH!ukaona kila machinga anapita anataka kununu kila kitu fahamu kwamba huyo mpenzi wako ana walakini kama niwakike ananua mara rangi wanja,brasia,hereni,Huyo siyo kamua anza!!Na kama wakiume unaona mara anataka soksi,mkanda,Tochi,vest mwache kunywa bia mpige karenda tawanyika iwe byebye!!Mtu makini hawezi kununua vitu baa!!!Lazima huwe na programe ya kufanya shopping ya mahitaji yako!!:painkiller:

Uko sawa mno dogo!
 
Sure demu anayenunua nunua vitu baa muogope kama kipindupindu, tena utakuta mwingine alivyo pambafu anakuja na wenzie wawili anakuambia ati ni rafiki zangu, shenzi mimi ninamaongezi na wewe hao wenzio wanini??
Atajifanya anakupenda saana, mara akuite dear mara honey, mara my sweet heart lotion ilimradi ni uizi mtupu!!
Demu anaye bomubomu hafai kabsaaaaa!!:embarrassed:
 
Sure demu anayenunua nunua vitu baa muogope kama kipindupindu, tena utakuta mwingine alivyo pambafu anakuja na wenzie wawili anakuambia ati ni rafiki zangu, shenzi mimi ninamaongezi na wewe hao wenzio wanini??
Atajifanya anakupenda saana, mara akuite dear mara honey, mara my sweet heart lotion ilimradi ni uizi mtupu!!
Demu anaye bomubomu hafai kabsaaaaa!!
:embarrassed:

Pole sana mkuu, hiyo ichukulie kama changamoto kwenye hizi harakati zetu za kuinfidee:A S-rap:
 
Back
Top Bottom