Ukiwa Kwa Mswati Hadi Raha

dah wazur xana wabongo michujo xana
 
Kumbe vifuu huwa vipi vya design tofauti tofauti? !
 
Mtukufu keshafikisha wangapi? Ishirini ama ishirini na tano?
 
wewe uliyepost post hii una hatia mbele za Mungu maana utawafanya wanaume wengi wataangalia na kutamani,na unajua ukimtamani tu mwanamke umezini naye so wengi watazini kwa kutazama hapa,na hukumu ya Mungu itakuwa kwako na kwao pia.

Mungu lazima akuhukumu kwa haki.
 
Anawaridhisha wote, je haki sawa ipo?
 
angalia picha vizuri,utagundua ambaye face havutii ana figure nzuri,sijui why huwa inakuwa hivo

Huwezi ukapewa vyote.utapewa hiki,kile utanyimwa
 

Kwa Hiyo Acha Unafiki
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…