Ukiwa huna pesa watu hawapokei simu zako

Naja naja

JF-Expert Member
Sep 13, 2016
747
1,452
Ukiwa huna pesa unadharaulika sana, hata kama kuna mwanamke alitokea kukupenda akishagundua huna pesa atakuchukia vibaya sana na atakuona kama taka taka.

Ndugu , jamaa na marafiki ni vigumu kukupigia simu na wao ni vigumu kupokea simu yako.

Hata jambo lolote utakaloshauri halita sikilizwa utaonekana mpuuzi tu.
 
Pole sana ndugu. Pole kwa kudharaulika. Hao wanaokupotezea leo watakua mstari wa mbele kusema wanakufahamu, wengine watasema "Mi nilijua tu jamaa atatusua, anaakili sana ya maisha"

Hata hivyo umechelewa sana kufahamu hilo.
 
Ukiwa huna pesa unadharaulika sana,hata kama kuna mwanamke alitokea kukupenda akishagundua huna pesa atakuchukia vibaya sana na atakuona kama taka taka.

Ndugu , jamaa na marafiki ni vigumu kukupigia simu na wao ni vigumu kupokea simu yako.

Hata jambo lolote utakaloshauri halita sikilizwa utaonekana mpuuzi tu.
Mkuu, soma thread yangu hii hapa>>> Maisha: Ukitaka marafiki wa "high class" usikimbilie kuomba hela, kutangaza shida zako ama kuwalaumu pindi mnakutana
 
Back
Top Bottom