Ukiwa chuo, tegemea yafuatayo

Nikiwa first year nilipangwa na jamaa flani wawili mwaka wa 3 kukaa sawa kumbe ni Waislamu wa swala sasa sijui ndio 5, basi wakaleta masharti ya kutosegelea eneo la kuswalia na ukichunguza lile eneo ndio dirishani na kuna socket na huduma nyingine na nikitaka kukaa mezani nijisomee lazima nitapita hapo kwa kusalia basi kwa muda nilivumilia lakini baada ya miezi nikawatolea uvivu na risala ndefu mbona walinyooka, yaani room unaishi kama uko jela, Walitia adabu
 
Tililikeni wadau...jinsi " how your university life was ,,during your stay at university???
 
Hayo yapo kwenye vyuo vyenu vya kata tu. Hutayakuta kwenye vyuo responsible such as MUM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…