Lakini kuna wagumu anakula buku mchana(Rb) na buku jioni vocha ya jero jumla 2500 anasave 5000. Mtu anajipimia adi maji ya kunywa ili yasiishe.
mjiandae kutapikiwa rum na jamaa walevi.!!
Boom likitoka watu wanasahau shule (module) then ukianza kupata 0.5 ya 10 ndo unashtuka. Wadada wanakuja na magauni na sket ndefu baada ya wiki 2 zote zimepelekwa kwa fund. Mtu anakuja mporipori ila akishafundishwa kuvaa wigi na trouser ni shida.
Watu kushindwa kutumia ATM mashine wanakupa kad uwasaidie unapika 20 kwanza alaf boya ashtuki.
Mtu akishapewa room floor ya juu anapiga cm nyumbani " huku tunalala ghorofani".
Watu kushindwa kutodautisha sink la kikojolea na kuswakia.
Chuo ni kujifunza pia namna ya kuish na watu. I lyk college life
yaan mm nilipangwa rum na vichwa vigumu hvyo,hawanunui soap,body spray hata dawa ya meno,yaani ilikua shida,chumba full makelele,kamari za karata na mpira zilikua zinapigiwa humo,mwanzo nilikua nachukia mwisho nikawazoea,maana now nataman nikae nao pia,nakumbuka masela wa mwaka wa 3 waliibeba taulo yangu wakaikata vipande vitatu eti wanadai taulo kubwa na wao hawana taulo so tugawane,yaan nilichoka but baadae niliwazoe,nakumbuka semister 1 kuna masela wawili walitiwa supp4 mmoja 3 sisi wengine moja moja,basi semister 2 akili zilikaa sawa wale masela walikua wanakesha class maana la cvyo hali ingekua mbaya,but mwisho wa cku tulizoeana na shida tunasaidiana na mpaka saiv tupo marafiki
Mwanzoni lazima upate shida lakini mkishazoeana unaona kawaida tu.
Binti hata kama umetokea seminary na international schools...ukifika chuo utamegwa kiulainiii,utavaa wigi na kuvaa jeans na sket fupi
yaan mm nilipangwa rum na vichwa vigumu hvyo,hawanunui soap,body spray hata dawa ya meno,yaani ilikua shida,chumba full makelele,kamari za karata na mpira zilikua zinapigiwa humo,mwanzo nilikua nachukia mwisho nikawazoea,maana now nataman nikae nao pia,nakumbuka masela wa mwaka wa 3 waliibeba taulo yangu wakaikata vipande vitatu eti wanadai taulo kubwa na wao hawana taulo so tugawane,yaan nilichoka but baadae niliwazoe,nakumbuka semister 1 kuna masela wawili walitiwa supp4 mmoja 3 sisi wengine moja moja,basi semister 2 akili zilikaa sawa wale masela walikua wanakesha class maana la cvyo hali ingekua mbaya,but mwisho wa cku tulizoeana na shida tunasaidiana na mpaka saiv tupo marafiki
Kwani wewe kuzoea ni ngumu??
Kuna vitendo vingine havizoeleki asee ,nilikaa dom moja na wala panya asee nilikua sijawah sikia majan ya bang yananukaje nikayasikia na usiombe waende kunywa matap tap ya kule moshi niful shida kuwaamsha usiku na wakutapika wanatapika ila nikazoea sio sana
Ila kweli kuna vingine vya kuvumilia na vingine ni ngumu kuvumilia asee
BADO wagongea boxa kiwi mafuta nguo cjui viatu
Hahaha na wanaoomba tsh 200 kila siku oi Bro nigee mara moja nitakurudishia kumbe ndo forever
Na careless people hao kwangu ndo zero tolerance kabisa siwavumilii
Namba 1 inanihusu, nilipata roommate snitch ni hatari, me mlevi ye sabato.
Hahaha na wanaoomba tsh 200 kila siku oi Bro nigee mara moja nitakurudishia kumbe ndo forever
Na careless people hao kwangu ndo zero tolerance kabisa siwavumilii