Zuzu kaenda kumsalimia mamaake mdogo kajifungua. Alipofika
kamwuliza, "Mamdogo mtoto huyu umempata wapi?" Mamaake mdogo
kamjibu, "Nimemnunua hospitali mwanangu." Zuzu kauliza tena, "Hiyo hospitali ya Kichina?" Mamdogo wake kashangaa, "Kwa nini
Zuzu?" Zuzu kajibu, "Mbona wamekuuzia mtoto hana meno?"