karume kenge
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 568
- 421
Inaniuma sana gari nishauza toka 2011 leo naambiwa nadeni la laki 8 na mbaya zaid nilomuuzia simjui alipita tuu na hajawah kulipia mpaka leo na sijui nitampata wapi, jaman usawa huu itakuaje ntakoma mimi na mpaka sasa jina linasoma langu sijui kalipaki cjui anafanya magumashi dah inauma wakuu tujitahid ukifanaya biashara usawa huu hakikisha unafanya uhamisho wa majina najuta mimi.