Ukiupata ujumbe huu usiufungue utadukuliwa

Ukiupata ujumbe huu usiufungue utadukuliwa

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
858
Reaction score
1,655

photo_2025-06-10_16-26-18.jpg


Wadukuaji wamekuja na style mpya ya kusambaza link zao zitakazofanya udukuliwe taarifa zako zote pindi pale utakapobonyeza tu hiyo link..Wanajifanya kwamba wana picha zako halafu anakuambia ubonyeze hiyo link ilo kupata picha hizo, ukibonyeza tu umekwisha...Nakuonya ukipata ujumbe kama huo ufute wala usifungue.. sambaza ujumbe huu kwa kila mtu ili asije kudukuliwa kizembe
 
Kivipi?

Mbona huku ndio kwenye mashaka zaidi?

Kupitia link tu kivipi iende ku grant access kwenye USSD?

Au ni miamala ya mfumo tofauti?

Kwasababu kwa ninavyoelewa hacking zote zinazotumia link kwenye cyber-attack zinajulikana kama phishing.

Yaani ukibofya hiyo link ikakupeleka kwenye browser yako ambayo huko ume log in accounts mbali mbali basi hiyo link itamfanya aweze kuzipata hizo usernames na passwords zako.

Lakini hacking ya namna hiyo kwenda kugusa kwenye miamala, hili kidogo sina utaalamu nalo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom