Ukiumwa na nyoka....

kastro

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Posts
1,011
Reaction score
631
Yanayo endelea sasa ndani ya Yanga ni Sawa Kabisa na ule mgogoro mkubwa ambapo baadhi ya watu walitumia nafasi zao serikalini kuihujumu timu ya wananchi kwa kuunda timu yao kwanza wakiita Nyota Afrika baadaye Pan Afrika. Sasa mbinu chafu zinataka kutumika kuibomoa Yanga kwa kuichagulia viongozi pandikizi ili kuwafurahisha upande wa pili. Safari hii mabavu yakitumika suala hili litatinga FIFA na madhara yake kila mtu anajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…