Ukiukwaji wa katiba za nchi ni chanzo cha Machafuko!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,244
7,970
Ukiona taifa lolote duniani liko kwenye mgogoro wa kisiasa ujue kuna ukiukwaji wa katiba.

Tusiichoke amani niliyonayo tufuate katiba yetu ya nchi pamoja na mapungufu yake ili kutunza amani tuliyonayo.Tuangalie migogoro ya kisiasa inavyoikumba baadhi ya nchi dniani kutokana na ukiukwaji wa katiba.

Mungu ibarika Afrika,Mungu ibariki Tanzania.
 
Yako ni kama sauti ya mtu aliae nyikani. Katiba zinavunjwa na watu waliyoapa kuzilinda, watu wenye maguvu ya dola. Mitazamo yao ni maslahi ya vikundi vyao, sio taifa, sio wananchi wake.
 
Afrika inaingia kwenye zama mpya za udikteta wa vyama vingi, bado tuna safari ndefu ya kufikia demokrasia ya vyama vingi.
 
Ukiona taifa lolote duniani liko kwenye mgogoro wa kisiasa ujue kuna ukiukwaji wa katiba.

Tusiichoke amani niliyonayo tufuate katiba yetu ya nchi pamoja na mapungufu yake ili kutunza amani tuliyonayo.Tuangalie migogoro ya kisiasa inavyoikumba baadhi ya nchi dniani kutokana na ukiukwaji wa katiba.

Mungu ibarika Afrika,Mungu ibariki Tanzania.
MUNGU HAWEZI IBALIKI AFRICA AU TANZANIA WAKATI MNAFANYA MAMBO YA AJABU KABISA, ANGALIA ZANZIBAR NA ANGALIA UCHAGUZI WA UMMEYA DAR. SANA SANA MUNGU ATTAWALAANI ZAIDI, SERIKALI YA CCM NA HATA SISI WANANHI TUNAO ONA UKWELI NA HATUCHUKUI HATUA!!!!
 
Huyo anae sema katiba zinakiuka
Mwenyewe kashindwa kuifuata ya chama tu
Hiyo ya nchi ndio ataiweza

Fuata kwanza ya chama chako
Ili uwe na sauti kwakatiba ya nchi

UKILETA FYOKOFYOKO
UNAFYOKOLEWA
 
MUNGU HAWEZI IBALIKI AFRICA AU TANZANIA WAKATI MNAFANYA MAMBO YA AJABU KABISA, ANGALIA ZANZIBAR NA ANGALIA UCHAGUZI WA UMMEYA DAR. SANA SANA MUNGU ATTAWALAANI ZAIDI, SERIKALI YA CCM NA HATA SISI WANANHI TUNAO ONA UKWELI NA HATUCHUKUI HATUA!!!!
Usimshirikishe mungu na
Mipango ya kipumbavu ya watu kutafuta uongozi

Demokrasia na Mungu wapi na wapi
Wewe ukitaka kumuhusisha mungu
Acha maovu sio kusaka umeya
 
Ukwahiyo wewe unafurahia ukiukwaji wa katiba? Wewe ni Jecha na M7 Pll au ukoo wa panya si bure.
 
MUNGU HAWEZI IBALIKI AFRICA AU TANZANIA WAKATI MNAFANYA MAMBO YA AJABU KABISA, ANGALIA ZANZIBAR NA ANGALIA UCHAGUZI WA UMMEYA DAR. SANA SANA MUNGU ATTAWALAANI ZAIDI, SERIKALI YA CCM NA HATA SISI WANANHI TUNAO ONA UKWELI NA HATUCHUKUI HATUA!!!!
Hao wote ni waenzi wa historia ya shetani na ndio wanakuza dola la shetani.
 
Back
Top Bottom