Ukitoka Gerezani- Ushauri wangu

Mpap Ndabhit

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2014
Posts
380
Reaction score
534
Mheshimiwa pole sana Kwa kutupwa jela. Hali halisi ya jela umejionea mwenyewe. Jela ni mbaya, jela ni mateso! Huku kwetu waafrika tunasema kwenda jela ni mkosi!
Na ili usiingie tena jela kwa imani ya baadhi ya waafrika huoga maji yenye Dawa na kulala nje siku saba siku mtu anapotoka jela ili kuondoa mkosi huo.

Lakini mimi naona mheshimiwa unaweza kupambana bila kupata misukosuko ya aina hiyo. Bado nakupongeza Kwa siasa zako za ustaarabu. Watanzania wanataka amani Na Maendeleo.

Nawasilisha.
 
Vilevile kwa kuongezea awe ana heshimu taratibu za kimahakama ili sikunyingine asiingie kwenye matatizo ya kujitakia, pole DJ ila maranyingi mtu kiburi ujifunza kwa maumivu makubwa sana. Nadhani atakapo toka hatofanya mambo kwa utoto na kiburi.Watanzania wange kuunga mkono ila si kwa jambo la kipuuzi kama ulilo fanya.
 
hata wewe ni mfungwa mtarajiwa hakuna aliye salama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…