Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,674 May 9, 2017 #1 Ukikutwa unatembea na mwanafunzi miaka 30 jela, sasa najiuliza Ukikutwa unakimbia nae itakuwa miaka mingap?? mwenye jibu tafadhali nijuze
Ukikutwa unatembea na mwanafunzi miaka 30 jela, sasa najiuliza Ukikutwa unakimbia nae itakuwa miaka mingap?? mwenye jibu tafadhali nijuze
KENZY JF-Expert Member Joined Dec 27, 2015 Posts 36,510 Reaction score 88,977 May 9, 2017 #2 ha ha! bangi mpya hii
barakaglory JF-Expert Member Joined Feb 6, 2017 Posts 481 Reaction score 474 May 9, 2017 #3 KENZY said: ha ha! bangi mpya hii Click to expand... Sio ya nchi hii
Z ZEE LA HEKIMA JF-Expert Member Joined Aug 10, 2015 Posts 1,422 Reaction score 1,851 May 9, 2017 #4 Na ukikutwa unafanya naye push up?
asubuhi sana JF-Expert Member Joined Mar 18, 2015 Posts 1,669 Reaction score 1,418 May 9, 2017 #5 Hahaha unakula Ubuyu una katwa chini
share JF-Expert Member Joined Nov 22, 2008 Posts 6,063 Reaction score 10,478 May 9, 2017 #7 Mwifwa said: Ukikutwa unatembea na mwanafunzi miaka 30 jera, sasa najiuliza Ukikutwa unakimbia nae itakuwa miaka mingap?? mwenye jibu tafadhali nijuze Click to expand... Kukimbia naye maana yake umempa mimba. Adhabu yake ni kutuma matumizi kwa mama na mtoto ukiwa jela. Utapata wapi fedha, utajiju! Itabidi maafande wadunde 0713....
Mwifwa said: Ukikutwa unatembea na mwanafunzi miaka 30 jera, sasa najiuliza Ukikutwa unakimbia nae itakuwa miaka mingap?? mwenye jibu tafadhali nijuze Click to expand... Kukimbia naye maana yake umempa mimba. Adhabu yake ni kutuma matumizi kwa mama na mtoto ukiwa jela. Utapata wapi fedha, utajiju! Itabidi maafande wadunde 0713....
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,674 May 9, 2017 Thread starter #8 KENZY said: ha ha! bangi mpya hii Click to expand... Kutoka Kolomije hiyoo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
KENZY said: ha ha! bangi mpya hii Click to expand... Kutoka Kolomije hiyoo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,765 Reaction score 126,674 May 9, 2017 Thread starter #9 ZEE LA HEKIMA said: Na ukikutwa unafanya naye push up? Click to expand... Utaambiwa uruke naye kichura ndio afadhali
ZEE LA HEKIMA said: Na ukikutwa unafanya naye push up? Click to expand... Utaambiwa uruke naye kichura ndio afadhali