ukitaka ukweli uwe umejiandaa...

stevoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
2,921
Reaction score
1,107
Nilikua sijapata ukweli kuhusu mtu ninayeishi nae nimeujua natamani nihame nyumba kwani nahisi akijua nimejua sina changu.
 
Utaenda wapi asikoweza fika? Jipange tu agana nae kwa amani......!
 
Ohooo!!! Nani kakushauri vibaya hivyo? Ukimchunguza Kuku sana hutakula nyama yake. Shauri yako mi sipo!
 
Ushaujua ukweli sasa chukua hatua!
 
wanaume ndivyo tulivyo,tukimtaka mwanamke tunamwambia sisi ni mameneja kampuni flani kumbe mwosha magari..hongera dada kustukia..chagua kusuka au kunyoa..
 
Sema kama ni Jambazi potea mazima
 
wanaume ndivyo tulivyo,tukimtaka mwanamke tunamwambia sisi ni mameneja kampuni flani kumbe mwosha magari..hongera dada kustukia..chagua kusuka au kunyoa..

unatafuta tusi au?
 
Utaenda wapi asikoweza fika? Jipange tu agana nae kwa amani......!

nimemjua nahisi nitafute njia mbadala sitak hata kuaga na sizani kama ataniruhusu akijua nimemjua
 
nimeomba nitumiwe safar za kurudi nyumbani nimeambiwa mpaka pasaka alafu kitu hicho kinanisumbua mpaka anakua na wasiwasi mwenyewe atakua amegundua sijui
 
Mbona hujasema tatizo?au shemeji ndio wale wenye misemo ya "HUWEZI KULA SAMAKI UPANDE MMOJA"halafu utawasikia"CHAPATI HAICHOMWI UPANDE MMOJA"kama akitaka huduma ya namna hiyo na ukamkatalia,atajihudumia mwenyewe kiujanja ukimuuliza kulikoni atakujibu "WANTELEZA..." Halafu siku hizi wanadai eti hiyo ndio njia bora ya Uzazi wa mpango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…