oaneni wenyewe mnawezana wenyewe
nina demu wangu wa kikurya,in short nimemchoka,ila ananipenda,yani haachiki,ana huruma, hapendi kuniona nafuria,ila tatizo lake ni mvivu na anadanganyika sana na mambo madogo,yani akiwa na shida hata ukimpa ushauri wowote anaufanyia kazi,ukimsaidia unaweza kumpata......ila mambo yakibuma ndo anakuja kuomba ushauri.....nimfanyaje
mbunye ngumuuuuuu bhita ni bhita mura.
Mkuu kuvumiliana hakupo siku hizi ila kuwezana?
oaneni wenyewe mnawezana wenyewe
kila mtu akipata kiboko chake regadles of kabila ANATULIA NA ANAVUMILIA
Wewe siyo MkuryaKalibu Tarime
Wewe siyo Mkurya