Wakasha fukunu
Member
- Feb 8, 2012
- 29
- 24
Lakini kumbuka hawa matajir wanawaajiri wasomi ndio wanamuendeshea biashara yake halafu kila m2 na trend yake ya maisha so be carefully halaf unapofikiria geuz mawazo pia upande wa pili.
mimi nafikiri wewe mwenyewe ndiyo unajichanganya! Kusema hakuna professor billionea ni makosa maana hakuna mtu alaiyesema unavyozidi kusoma ndiyo unazidi kuwa tajiri bali wahenga wanasema ukisoma unauhakika zaidi wa kuwa na maisha mazuri. Hivyo badala yake hapo juu ungetutajia mfano wa maprofessor ambao ni masikini ili utushawishi tusisome na sisi.
Kuna professor masikini unamjua hata mmoja?
soma ndugu yangu,peleka mtoto shule akapate elimu apate walau degree ndipo ajiajiri ila shule ya muhimu mkuu
that is true man, haina haja ya kubisha tangu ln mshahara ukakutosha?
hili ni suala mtambuka.labda niseme hivi navyosema masikini simaanishi kuwa ni hana kitu kabisa tena wanalipwa zaidi ya 4miiion.lakini wana financial security tuu .lakini hawana fi
ancial freedom.mkuu ipo tofauti kubwa sana kati ya financial security na financial freedom.
Kwa ufupi sana
financial security -you work for money
financial freedom-let money work for you

robert kiyosaki amewaharibu sana watu...hiki kitabu cha rich dady poor dady kinawadanganya sana