Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,377
- 3,394
- Thread starter
- #21
ndo hivyo mashoga walivyo.....ila komaa nae....mwizi tu huyo.....hajapoteza wala nini....vipo anavyo....ila Zindu....pamvu na ndweo maana yake ni nini.....?
Ndweo maana yake ni Kiburi au Majivuno kwa Kingazija.
Pamvu maana yake ni ile sherehe ya kupokea mahari, huku Pwani twaita Pamvu
Mnisamehe, na kama lugha yangu ni ngumu naomba muwe mnaomba ufafanuzi kama alivyofanya mwenzenu.