KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,887
- 40,069
Kwahiyo mwanamke wa kimakonde kupigwa nje ya ndoa ni kawaida!?Uko sahihi ila sasa hakikisha hukosei kuoa, sio unaoa mtu hujawahi mfatilia kabila lake, tabia zake na vitu vingine. Sasa unakuta mtu wa Mwanza anatafuta Wamakonde, alafu ukichapiwa uanze kusema ndoa ni Utapeli, michepuko ni dili. Sometimes naona intertribal marriages is the cause of all of these. Eti mtu mpole unamuoa mchagga au mtu wa arusha, kwanini asikuendeshe?
Ukikosea kuoa utatafuta mchepuko.
Ndio mkuu, wanafundishwa tokea wakiwa wadogo wasimnyime mwanaume mwenye upwiru ikiwa mume wake hayupo.Kwahiyo mwanamke wa kimakonde kupigwa nje ya ndoa ni kawaida!?
AROOONdio mkuu, wanafundishwa tokea wakiwa wadogo wasimnyime mwanaume mwenye upwiru ikiwa mume wake hayupo.
Hii hatari aisee!Ndio mkuu, wanafundishwa tokea wakiwa wadogo wasimnyime mwanaume mwenye upwiru ikiwa mume wake hayupo.
Sasa eti unampenda mwanamke wa kabila hilo, unaexpect nini? Ndo unakuta msemo wa ndoa ni Utapeli.Hii hatari aisee!
Kweli kabisa mkuu.Sasa eti unampenda mwanamke wa kabila hilo, unaexpect nini? Ndo unakuta msemo wa ndoa ni Utapeli.
Ndio mkuu, wanafundishwa tokea wakiwa wadogo wasimnyime mwanaume mwenye upwiru ikiwa mume wake hayupo.
Umesema mwenyewe hapo mnapenda kukulana, hii ni jadi ya watu wa Kusini kwasababu ukoo wetu umeishi huko, mimi nimesoma shule kubwa pale Kusini ya serikali. Nilikuwa nawazoom tu, watu wa Kusini hasahasa Mtwara wana tabia mbovu sana, hapa nimewasitiri tu.Acha uongo ndugu
Naongea kama wa kusinl kila kitu ni tabia ya mtu japo ni kweli tunapendaa kukulana ila sio kiasi hiko
Nasema nilichokiona na nilichokishuhudia, ukoo wetu ulikaa miaka 19, ila wote walitoka na clean sheet, hakuna aliyekubali kuoa Mmakonde au Mmakua.Acha uongo ndugu
Naongea kama wa kusinl kila kitu ni tabia ya mtu japo ni kweli tunapendaa kukulana ila sio kiasi hiko
πππππ π πππππππππππππMichepuko haikwepekii manake unakuta wife home ni kisirani balaa
God1stFamily2ndHuu mtego nimefanikiwa kuukwepa.... Michepuko ni hatari Kwa uchumi binafsi...
Njia nilizotumia:
1. Kwakua mbunye nyingi nilizipatia club, nikapiga chini kwenda club(Hapa wengi walisema nimewekwa kwenye chupa)
2. Nikaanza kuwa jirani na familia yangu, Hapa niligundua mengi:
a) kwakua mala nyingi jioni nilikuwa club, nilikosa information nyingi kuhusu familia yangu, mfano siku Moja mida ya jioni dogo kachelewa kutoka shule anaingia ndani dole gumba lipo nje ya kiatu kiufupi kimeoza. Siku nyingine dogo kavaa kishati kimemruka kama njiwa. Kuna sauti ikanijia na kusema "Tatizo ni wewe umetelekeza familia yako"
b) Nikagundua kwamba nimecheza sana na muda kipindi hicho hakuna kiumbe kilichoshinda mbele ya muda.
c. Nikaja kusanuka, kumbe masaa mengi inabidi uwe na familia yako na sio marafiki zako.
Thanks GOD now I can feel the sunshade
Hongera umejitambua, Bora kuwa karibu na familia ambao ukitoka wanakulilia kuliko marafiki ukiwapa mgongo wanakusnitch.Huu mtego nimefanikiwa kuukwepa.... Michepuko ni hatari Kwa uchumi binafsi...
Njia nilizotumia:
1. Kwakua mbunye nyingi nilizipatia club, nikapiga chini kwenda club(Hapa wengi walisema nimewekwa kwenye chupa)
2. Nikaanza kuwa jirani na familia yangu, Hapa niligundua mengi:
a) kwakua mala nyingi jioni nilikuwa club, nilikosa information nyingi kuhusu familia yangu, mfano siku Moja mida ya jioni dogo kachelewa kutoka shule anaingia ndani dole gumba lipo nje ya kiatu kiufupi kimeoza. Siku nyingine dogo kavaa kishati kimemruka kama njiwa. Kuna sauti ikanijia na kusema "Tatizo ni wewe umetelekeza familia yako"
b) Nikagundua kwamba nimecheza sana na muda kipindi hicho hakuna kiumbe kilichoshinda mbele ya muda.
c. Nikaja kusanuka, kumbe masaa mengi inabidi uwe na familia yako na sio marafiki zako.
Thanks GOD now I can feel the sunshade
Upo sahiiGod1stFamily2nd
NakubaliHongera umejitambua, Bora kuwa karibu na familia ambao ukitoka wanakulilia kuliko marafiki ukiwapa mgongo wanakusnitch.
Mtume Muhammad (S.A.W) anasema "Mbora wenu ni Yule aliye bora Kwa familia yake"