Million dollars
JF-Expert Member
- Jul 20, 2016
- 1,508
- 2,070
Ndo analipwa sasa! We unadhani povu unalotoa humu litapunguza hiyo hela? Au wataacha kumpa wakupe wewe?Wanapesa za kuchezea bora wangekula kitimoto na ndizi kuliko kumpa lofa mmoja
Mtaungua saaana mwaka huu endelea kucheza draft wenzio wanaendelea kuingiza million 87