Jile79 JF-Expert Member Joined May 28, 2009 Posts 17,668 Reaction score 13,281 Sep 6, 2010 #1 Tulikuwa tunajadili jinsi watu wanaosemekana kuwa chini ya sheria wanavyoweza kuwa juu ya sheria kwa wakati wowote, tumegundua kuwa ili uweze kujua kama wewe ni raia wa nchi hii au la inakubidi UGOMBEE UBUNGE na si vinginevyo.
Tulikuwa tunajadili jinsi watu wanaosemekana kuwa chini ya sheria wanavyoweza kuwa juu ya sheria kwa wakati wowote, tumegundua kuwa ili uweze kujua kama wewe ni raia wa nchi hii au la inakubidi UGOMBEE UBUNGE na si vinginevyo.