Ukitaka kujua SIMBA SC kuna tatizo uko kwenye uongozi,, Ahmed ally anakupa majibu

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
1,177
Reaction score
2,551
Nimethibitisha ni wazi kuna tatizo kubwa sana huko ndani kwenye uongozi wa simba.

Sijajua exactly kama ni hela hakuna??, Viongozi wamejigawa??, au kingine chochote ila nakuhakikishia kuna tatizo kubwa sana.

Facial expression ya msemaji wetu Ahmed ally haipo sawa kabisa,, anajitahidi tu kwa sababu ndio profession yake,,, Huyu jamaa anajitahidi kiukweli kuweka mazingira ya huko ndani yaonekanale sawa wakati si shwari hata kidogo

Juzi juzi alituambia Simba wanasajili Kimya Kimya na tayari washamalizana na baadhi ya wachezaji wasio pungua watano....yote haya ni just kupunguza pressure kwa mashabiki

Leo anakuja na kusema, Jana wamekamilisha usajili wa wachezaji wawili, na leo mchezaji mmoja.....ni wazi hii inatoa jibu ya moja kwa moja kuwa kuna shida maana kauli yake ya nyuma na hii ya leo zinakinzana.

Sijasoma saikolojia but ukiwaza i'm feel utakuja na maswali haya.....Simba ilikuwa wapi kuchelewa kusajili??,,, mwekezaji anatoa hela kweli???,,,kwanini utopolo wanajiamini kwa kiasi hiki ni wazi wanajua kuna mpasuko Msimbazi???? nk.nk.

Mwisho na muhimu: ally kamwe na Yanga kwa ujumla hawajitambi kwa bahati mbaya lazima kuna tatizo upande wetu.

Msimu huu mpya sidhani kama tutafika mbali kuanzia ligi ya ndani mpaka kimataifa,,, sina matumaini na timu yangu kabisa....hili nimeliongea bila unafiki.

NAISUBIRIA SIMBA MPYA BILA MO,, NDIO SIMBA ITAKAYOKUWA TISHIO ZAIDI..
 
Sijaona point ya maana hapa Blabla tu.
 
Kesi ishakuwa ngumu hii ....anyway subiri ufufuo tu
FB_IMG_1753288046605.jpg
 
Simba na CCM ngoma drooo, kote kuna mchafuko wa lugha
 
Niliona kwenye page za michezo wameandika dp world wanaitaka simba wachukue zile asilimia 49
 
Back
Top Bottom