Ukitaka kujua CHADEMA inamuogopa Mr.NAPE NAUYE na MWIGULU NCHEMBA soma HAPA !

Pamoja na heading kujichanganya siyo mbaya mkuu maana umewakilisha mawazo yako.

1. Swali la kwanza kuomba tu msaada wa ufafanuzi kwenye red zote hapo juu, unatofautishaje kejeli na matusi kwa maneno hayo? na unamaanisha nini

2. Uzalendo wa nape ni kutangaza ufisadi ?au propaganda za chama chake baada ya kushindwa kuchukuwa hatua, tushangile matangazo bila kuchukuliwa hatua?

3. Kama kukejeli ni uzalendo utakubaliana na mimi Dr slaa atakuwa mzalendo zaidi ya nape kwanini tafakali....

Chukua hatua.....
 
We jamaa umeniwahi Kidogo tu. Nilitaka kufanya the same thing. thanks anyway
 
Ifike wakati sasa kujiunga na Jf kuwekunazingatia standards fulani, huyu jamaa hata kiswahili kinamshinda sielewi ni lugha gani ataiweza! Anaandika kama anawaandikia watoto wezie huko facebook!
 
mama mama tunachoogopa sisi sio Kinana tunchoogopa sisi ni pembe za ndovu, ukizalishwa watoto itakuwa historia kwao kumuona tembo hicho ndio tunachoogopa mama.
 
Mkuu nadhani kwa hoja hizi, hapa Jf hakuna kama wewe!! Umetoa hoja za noma!! Haya ma-point nadhani umeyapata baada ya kugonga KAYOGA au PINGU kama sio KALINYA!!!
 
kwanini tukulazmishe uujue ukweli wakati hata tathmin yako inaonyesha ailingani na ujumbe ulio wasilisha jamvini. kijana tambua hata kwenye bibilia inasema kua amelaniwa yule amtegemeae binadamu kua ndo kinga yake! ndugu kama ulikua unategemea mwigulu pamoja na nape wakununulie unga. mi nadhani 2015 utapakatwa, kama vpi jishughulishe ***** weee.
 
Msimlaumu sana! Ni ajira yake hii! Yuko kazini ili mwisho wa siku NAPE amlipe ili watoto wake waende choo!!
 
Hakuna cha msalia mtume. Majimbo yote ya cdm yalikua chini ya CCM. Wewe endelea kupiga kelele, nyumba yenu inaungua! Toka nje hamia CDM chama makini. 'up2u ma friend'
 
jenga hoja,kufumaniwa inauhusiano gani hapa?...unaishi kwa umbeya badala ya kuchapa kazi?...hujasikia mke wako anatoka na jirani yako?

Umeishiwa tafutapoint zakuombea posho mchumia tumbo usiyejua hata kituchochote.eti jirani anagoka na mkewe?!!!! ndiyo sera za chama chako eeeh!???.
 
Back
Top Bottom