Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,639
Ishi kama hakuna logic duniani na usijiulize-ulize maswali kutaka kuchambua mambo. Ukiwa unataka kuingia penzini kazi ache akili zako maabara zisaidie kukuza minyoo... ♥
Kila mtu anataka mpenzi wake peke yake lakini kila
mpenzi unayegusa unakuta jamaa walipita zamani na hawana idadi. Na ukijifanya kutumia akili kumuuliza "Umewahi kulala na Wanaume wangapi before me" Jibu lao huwa ni rahisi kweli...."Wawili tu yaani we ndo wa 3". Wakati kumbe wewe ni kijamaa cha 54...Wazamani wapo 53... ♥
Mtu ana ana wapenzi wa zamani 53 atakuwaje Mpenzi wa peke yako? Wapenzi wazamani wengine hawana huruma, hata wasipoonana Miaka 2, siku wakikutana analowa jamaa anapitisha Dekio na atarudi home atakutext "I love you babe mi ndo nalala, Nakupenda sana" ♥
Ukiamua kupenda we penda tu, ila ukitaka kujua
yanayojiri ndani ya penzi lako utawekewa dripu bure.. Shikamoo wewe hapo ambaye wapenzi wa zamani wapo 36 kila mkikutana lazima mpashe
kiporo japo unampenda mmeo.. Shkamoo lakini hiyo tabia kuna siku itakua ya moto sana na sitakwambia kwa nini...
Tambua kuwa ni kosa kubwa sana tena siyo la mfano ku replay na ex wako. Najua unataka kujua kuna madhara gani? Nitasema kesho sana..Mapenzi matamu sana jamani