Ukitaka Kufanikiwa kwenye haya maisha achana na matumizi ya Smartphone

Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wakuu.
We endelea na kitochi chako.
 
Tatizo la dunia nzima ni kuwa haikujiandaa na mapokezi ya teknolojia.
Tungejipanga hakika haya yasingetokea

Swali ni je tunatokaje tulipo, tufike mbali ya hapa bila kuathiri jamii na vizazi vijavyo?
 
Kila mtu ashinde mechi zake.....
Wewe umeruhusu simu iku-control, badala ya wewe ku-control simu.. Na ndy maana unaona maisha magumu ukiwa na smartphone
 
Habarini wakuu ni mimi tena kijana wenu humu jamiiforums, leo nimeamua kutoa ujumbe wangu kwa vijana wenzangu kama mimi.

Unajua nini, hizi smartphone nowadays zinatupotezea muda wa kufanya mambo ya umuhimu katika maisha.

Unakuta vijana wengi tunapoteza muda kwenye social media (facebook, instagram, whatsapp, youtube na hata humu jamiiforums), nimeshatumia sana hii mitandao ya kijamii hakuna faida yoyote ninayoipata zaidi ya kupoteza pesa kwenye mabando, kucheza kamari na mambo mengine mengi hasa kucheck porn.

Isitoshe naona matumizi ya smartphone yanatutoa kwenye reli ya kupambana na maisha, vijana tunakuwa malazyness, na hatufocus kwenye future, hizi smartphone kwakweli zinatufelisha sisi vijana tunapoteza muda wa kufanya mambo ya maana kutwa nzima tuko mitandao ya kijamii na hatupati faida yoyote.

Kuanzia leo mimi naacha matumizi ya smartphone nifocus na maisha yangu, hivo wakuu mkiniona nipo kimya humu JamiiForums jueni tu kuwa nimeshauza simu yangu ili ni concentrate na maisha seriously ungana nami kijana mwenzangu tuache kupoteza muda na haya masocial media yasiona umuhimu wowote kwenye maisha yetu ya kesho.

Natanguliza shukurani wak
Mkuu nakubaliana na ww kabsa, i once started a thread "nataka kutumia mitandao ya kijamii kwa manufaa tu"
Tatizo kubwa ambalo tunalo ni addiction na hii mitandao, unapoteza pesa lakini mbaya zaidi unapoteza muda pamoja na focus. Unakuta siku imeisha hujafanya cha maana zaidi ya kushinda kwenye mitandao kitu ambacho kwa mtu mwenye akili timamu lazima ikukere.

But mkuu hizi simu zina faida kubwa pia, jua hiki ni kifaa ambacho ww ndo unakiendesha. ukiingia mtandaoni ww ndo unaamua kwenda kutafuta habari flani ambayo ndo upo interested nayo. so ukiamua kutumia vibaya basi utaishia pabaya lkn ukitumia vizuri i mean kwa kutafuta habari tu ambazo zina faida kwako basi inakuwa ni msaada

Naelewa mkuu kwanin unasema unataka kuuza simu, ni kwa sababu ww ni kama mim tu kwamba una addiction na hii mitandao, sas mkuu nikushauri usiuze bali tafuta kiswaswadu uendelee kutumia kama mwezi au miwezi miwili, ili ile addiction ya social media iishe, then ukirudi baadae kutumia smartphone uwe umepanga tartibu zako za kutumia smartphone ili kuavoid addiction again

Nasema usiuze kwa sababu pamoja na kwamba hizi social media ni mbaya lkn ni kwa sababu sisi ndo tunatumia vibaya, but tukitumia vizuri pia ni nzuri mfano ata kama mkuu ukifungua duka lako labda unauza nafaka, mtu anaweza akakutonya sehemu ambazo unaweza kununua kwa bei nafuu, then ukaomba picha ya sample ukaona. Niamini mimi ukiuza simu baadae tena lazima utanunua lkn wakat huo utakuwa umejifunza namna nzuri ya kutumia.

Ni Pm mkuu tubadilishane mawazo kidgo i like the way you have became vigilant to this disease of social media
 
CAME ON GUYS!! LEAVE THE PHONE AND LET'S GO TO STREET TO MAKE SAME MONEY

NIAMINI MIMI PESA IPO MTAANI NASIO KWENYE MITANDAO YA KIJAMII WALA HIZO DIGITAL MARKETING
Utajiri upo upande WA technology halafu we unawashauri waachane na technology,mabilionea top 10 duniani ,lazima watano WApo kwenye tech ,Jeff bezoa,Mark ,Elon ,na wengine wote WApo kwenye tech,hapa penyewe unawasiliana na sisi kupitia tech
 
Uza simu uondoke kwa wazazi wako kwanza..
Watu wanahangaika kubishana na 21yrs si Ni matatizo haya.
Image_1685262306.jpg
 
Mie bila smart fone naona mpaka leo ningekuwa na urahibu wa nyeto. Asanteni tinder badoo kwa kuniwezesha kula mbususu
 
Umesema unauza simu na unaachana na social media ole wako kesho kutwa tukukute Tena jamii forum,naona umeanua kufuata falsafa ya Osama bin laden" ishi kizamani ili usasa usikupate" hongera kwa for escaping the matrix
 
Back
Top Bottom