Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako usiwe unamuachia mke wako hela ya matumizi

LIKUD nimekupa tu like " lakini huu ushauri hapana aisee" ukitakaw kupata stroke haraka" basi fanya hiyo kitu Aiseee
 
hapo tu" wanaachiwa" pesa za matumizi" tu" lakini wanakumbana" na Balaa la kuchukiwa" na mama mkwe na mawifi" ""!!,ukiwa una muachia pesa zako zote" siutakuwa" wamchimbia " kaburi mtoto wawatu" ... tena usiombee mama yke mkwe awe" ni bi sandra" hahahaa

Mama Sabrina
 
Mshahara wako take home ni sh.milioni tatu na laki na nane halafu hela ya matumizi unayo muachia mkeo ni sh elfu kumi kila siku. Ur not right brother.

Unafanya biashara unapata duhuli ( faida ) sh laki tatu kwa siku halafu hela ya matumizi unayo muachia mkeo ni sh elfu kumi ambayo unampa kila siku..Unategemea utakuwa tajiri??? Huwezi tajirika brother.

UNATAKIWA KUFANYAJE SASA ?
Uhusiano kati ya mke na mume walio katika ndoa ni sawa na uhusiano kati ya Mungu na kanisa ( 1WAKORINTHO 15: 24-26)
Mume ni kichwa na mwanamke ni MWILI.
Vivyo hivyo :

MUNGU = KICHWA

KANISA = MWILI.

Kanisa ni MWILI wa Mungu na Mungu ndio kichwa cha kanisa.

MUNGU ANATUMIAJE PESA ZAKE KWA KANISA AMBALO NI MWILI WAKE.

Sadaka ni pesa zinazo tolewa kwa ajili ya Mungu .Lakini Mungu hashiki hizo pesa mkononi.Pesa zinashikiliwa na kanisa.

Kanisa ndo linaamua matumizi ya pesa za Mungu.Mfano kujenga mashule, kujenga mahospitali,kusaidia yatima nakadhalika.

Yatima aliesaidiwa na kanisa humshukuru Mungu.. Mgonjwa alieponywa hospitali ya kanisa humshukuru Mungu.Aliesoma kwenye shule au chuo cha kanisa humshukuru Mungu.

Mungu anapata utukufu kwa kazi iliyo fanywa na kanisa ambalo ni MWILI wake ..

Mungu anapata heshima kwa kazi ya kanisa ambalo ni MWILI wake.

Mungu angekuwa anapokea hizo pesa za sadaka halafu anatoa ruzuku kwa kanisa kanisa lisinge endelea na Mungu asingepata utukufu wake wala heshima kupitia kanisa.

Vivyo hivyo ukitaka kupata heshima kupitia mke wako usiwe unampa pesa ya matumizi.

Badala yake uwe unampa pesa yote unayopata halafu yeye ndio apange vitu vya kufanya. Wewe uwe unatoa ushauri na mwongozo.

Kwa pesa utakayo kuwa unampa mkeo baada ya miaka mitatu atakuwa amefanya mambo makubwa sana ambayo yatafanya uheshimike sana katika jamii.

Yeye mwenyewe atakupenda na kukuheshimu sana na mkeo akikupenda na kukuheshimu basi jamii yote inayo kuzunguka itakuheshimu pia.
Hawa wanawake wa Sasa si atajijenga mwenyewe mwisho wa siku aombe talaka
 
Maandiko ya thread ni mazuri ila hayawezi kutekelezeka na ukijaribu kufanya hivyo haya ndo yatakayokutokea ...
1. Ukweni watajengewa wakati kwako kutabaki hovyo
2. Vijana wa kishua (mashalubalo) watakuwa wanashinda na mkeo
3. Hiyo familia haitakuwepo baada ya miaka kama miwili hivi ...

Naamini mtoa mada hajaoa ... jifunzeni kwa vitendo.
Nimeipeda
 
Usisahau na fungu la kumi..Mke ni kanisa ..Ukipiga deal lako milioni mia basi milioni kumi ya mke wako

Acha matani wewe million Kumi nimpe ya nini...Bora hiyo million Mia yote nimpe mama yangu kuliko Kumi nimpe mke. Hui no ujinga.
 
Wanawake wote ni sawa tu. Haina mpare ,mchaga siji nani. Mwanamke anaamini akikuacha na pesa utaenda kuhonga. Pia huwa hawana hakika na kama utaishi naye maisha yote so huwa wako mguu ndani mguu nje
 
Ushauri mbovu sana huu. Mwanaume yoyote asisome huu uchafu. Pia, acha kumuhusisha Mungu na mambo ya ajabu ajabu. Kama wewe ni kichwa cha familia na unaaamini katika hili ndio maana Adamu alifeli sana.
 
Back
Top Bottom