Ukitaka kufanikiwa katika maisha yako usiwe unamuachia mke wako hela ya matumizi

Hili bandiko hata kama kuna ukweli, sisi wacheza betting tunaita ngumu kumeza!!
 
Mshahara wako take home ni sh.milioni tatu na laki na nane halafu hela ya matumizi unayo muachia mkeo ni sh elfu kumi kila siku. Ur not right brother.

Unafanya biashara unapata duhuli ( faida ) sh laki tatu kwa siku halafu hela ya matumizi unayo muachia mkeo ni sh elfu kumi ambayo unampa kila siku..Unategemea utakuwa tajiri??? Huwezi tajirika brother.

UNATAKIWA KUFANYAJE SASA ?
Uhusiano kati ya mke na mume walio katika ndoa ni sawa na uhusiano kati ya Mungu na kanisa ( 1WAKORINTHO 15: 24-26)
Mume ni kichwa na mwanamke ni MWILI.
Vivyo hivyo :

MUNGU = KICHWA

KANISA = MWILI.

Kanisa ni MWILI wa Mungu na Mungu ndio kichwa cha kanisa.

MUNGU ANATUMIAJE PESA ZAKE KWA KANISA AMBALO NI MWILI WAKE.

Sadaka ni pesa zinazo tolewa kwa ajili ya Mungu .Lakini Mungu hashiki hizo pesa mkononi.Pesa zinashikiliwa na kanisa.

Kanisa ndo linaamua matumizi ya pesa za Mungu.Mfano kujenga mashule, kujenga mahospitali,kusaidia yatima nakadhalika.

Yatima aliesaidiwa na kanisa humshukuru Mungu.. Mgonjwa alieponywa hospitali ya kanisa humshukuru Mungu.Aliesoma kwenye shule au chuo cha kanisa humshukuru Mungu.

Mungu anapata utukufu kwa kazi iliyo fanywa na kanisa ambalo ni MWILI wake ..

Mungu anapata heshima kwa kazi ya kanisa ambalo ni MWILI wake.

Mungu angekuwa anapokea hizo pesa za sadaka halafu anatoa ruzuku kwa kanisa kanisa lisinge endelea na Mungu asingepata utukufu wake wala heshima kupitia kanisa.

Vivyo hivyo ukitaka kupata heshima kupitia mke wako usiwe unampa pesa ya matumizi.

Badala yake uwe unampa pesa yote unayopata halafu yeye ndio apange vitu vya kufanya. Wewe uwe unatoa ushauri na mwongozo.

Kwa pesa utakayo kuwa unampa mkeo baada ya miaka mitatu atakuwa amefanya mambo makubwa sana ambayo yatafanya uheshimike sana katika jamii.

Yeye mwenyewe atakupenda na kukuheshimu sana na mkeo akikupenda na kukuheshimu basi jamii yote inayo kuzunguka itakuheshimu pia.

KAMA KWA BAHATI MBAYA MKE UNAYEISHI NAYE NI MCHAWI? EVERY RULE HAS EXCEPTION
 
Mwanamke siyo tu kukabidhiwa hela, hatakiwi kujua unapata kiasi gani ofisini kila mwezi. Ukifanya hilo utafanikiwa upesi.

Kutaja mshahara ni sawa na kutoa ramani ya vita kwa adui
 
Hyo inafanyakazi kwa wanawake wenye akili. Ukipata mwanamke mfujaji andika maumivu 100%. Though wanawake ni watumiaji wazuri wa pesa kuliko wanaume
 
Mh.. Hii ni ngumu kumeza mzee, kwanza tuanze na wewe, Je Umeoa? Kama ndio, Je unafanya hivyo? Kama ndio.. Je umefanikiwa kwa kiasi gani?

Pia waulize waliooa akili za wake zao, ndo utamjua mwanamke huwa anawaza nini pale anapotawala uchumi..
 
Vivyo hivyo ukitaka kupata heshima kupitia mke wako usiwe unampa pesa ya matumizi.

Badala yake uwe unampa pesa yote unayopata halafu yeye ndio apange vitu vya kufanya. Wewe uwe unatoa ushauri na mwongozo.

Kwa pesa utakayo kuwa unampa mkeo baada ya miaka mitatu atakuwa amefanya mambo makubwa sana ambayo yatafanya uheshimike sana katika jamii.

Yeye mwenyewe atakupenda na kukuheshimu sana na mkeo akikupenda na kukuheshimu basi jamii yote inayo kuzunguka itakuheshimu pia
.

SASA MKUU USIMPE HELA NDANI MATUMIZI UTASIMAMIA MWENYEWE? UBAHILI MWINGINE SIO
 
Duh.... so mke ni adui? then kwa nini uoe?
Hamna mahali niliposema ni adui, hebu rejea maelezo yangu.

Ninachomaanisha mke ukimpa pesa ndiyo ashike au akijua una kiasi fulani, atazipangia bajeti akiwa na uhakika anachokitaka kitatimia. Muda mwingine unajikuta umempa ashike au pesa yako uliyo nayo ina malengo fulani ya kimaendeleo. Ila akaweka matumizi yake, hutofika popote.

Akitaka ya mahitaji muhimu apewe, ila si kujua akiba ipo kiasi gani.
 
UMESEMA HAPA - "Kutaja mshahara ni sawa na kutoa ramani ya vita kwa adui"
 
Mshahara wako take home ni sh.milioni tatu na laki na nane halafu hela ya matumizi unayo muachia mkeo ni sh elfu kumi kila siku. Ur not right brother.

Unafanya biashara unapata duhuli ( faida ) sh laki tatu kwa siku halafu hela ya matumizi unayo muachia mkeo ni sh elfu kumi ambayo unampa kila siku..Unategemea utakuwa tajiri??? Huwezi tajirika brother.

UNATAKIWA KUFANYAJE SASA ?
Uhusiano kati ya mke na mume walio katika ndoa ni sawa na uhusiano kati ya Mungu na kanisa ( 1WAKORINTHO 15: 24-26)
Mume ni kichwa na mwanamke ni MWILI.
Vivyo hivyo :

MUNGU = KICHWA

KANISA = MWILI.

Kanisa ni MWILI wa Mungu na Mungu ndio kichwa cha kanisa.

MUNGU ANATUMIAJE PESA ZAKE KWA KANISA AMBALO NI MWILI WAKE.

Sadaka ni pesa zinazo tolewa kwa ajili ya Mungu .Lakini Mungu hashiki hizo pesa mkononi.Pesa zinashikiliwa na kanisa.

Kanisa ndo linaamua matumizi ya pesa za Mungu.Mfano kujenga mashule, kujenga mahospitali,kusaidia yatima nakadhalika.

Yatima aliesaidiwa na kanisa humshukuru Mungu.. Mgonjwa alieponywa hospitali ya kanisa humshukuru Mungu.Aliesoma kwenye shule au chuo cha kanisa humshukuru Mungu.

Mungu anapata utukufu kwa kazi iliyo fanywa na kanisa ambalo ni MWILI wake ..

Mungu anapata heshima kwa kazi ya kanisa ambalo ni MWILI wake.

Mungu angekuwa anapokea hizo pesa za sadaka halafu anatoa ruzuku kwa kanisa kanisa lisinge endelea na Mungu asingepata utukufu wake wala heshima kupitia kanisa.

Vivyo hivyo ukitaka kupata heshima kupitia mke wako usiwe unampa pesa ya matumizi.

Badala yake uwe unampa pesa yote unayopata halafu yeye ndio apange vitu vya kufanya. Wewe uwe unatoa ushauri na mwongozo.

Kwa pesa utakayo kuwa unampa mkeo baada ya miaka mitatu atakuwa amefanya mambo makubwa sana ambayo yatafanya uheshimike sana katika jamii.

Yeye mwenyewe atakupenda na kukuheshimu sana na mkeo akikupenda na kukuheshimu basi jamii yote inayo kuzunguka itakuheshimu pia.
Looooh,, mkuu mwanzoni nilitaka kushindwa kukuelewa, lakini baada ya kusoma mpaka mwisho nimekubaliana na wewe kabisa!! Ukipata mama mwenye busara zake hakika utatoboza mkuu! Wenzetu wako vizuri kwenye kupanga lakini sisi ukikaa na hela utamalizia kwa mchepuko tu na kunywesha watu pombe!
 
Maandiko ya thread ni mazuri ila hayawezi kutekelezeka na ukijaribu kufanya hivyo haya ndo yatakayokutokea ...
1. Ukweni watajengewa wakati kwako kutabaki hovyo
2. Vijana wa kishua (mashalubalo) watakuwa wanashinda na mkeo
3. Hiyo familia haitakuwepo baada ya miaka kama miwili hivi ...

Naamini mtoa mada hajaoa ... jifunzeni kwa vitendo.
Mtoa mada yuko sawa ila inategemea na aina ya mke ulie nae japo wake wanaoweza kufaulu huu mtihan kwa sasa ni wachache sana labda aww umemtoa kijijin hujai yanayiendelea kweny ulimwengu wa fashion nk mi Nilisha wahi fanya huu utaratibu nikafaulu na nikaona manufaa na maendeleo makubwa kwa mda mdogo ila kwa sasa mke wangu kashajua kila fashion nakila mitaa yote ya jiji la dar ukimpa hera yote unalia anajua kutumia hera utazani ni serkal. .yy hata haoni taabu kutumia laki5 kwa siku..harafu sio kila mwanamke ni mke jmn mke mkutanie bar, au kwenye kumbi za starehe baada ya mwezi unatangaza ndoa hapo hata hamjajuana nk
 
Back
Top Bottom