Kama una zungumzia post tu fuatisha maelekezo haya:
1. Nenda sehemu husika ya post ilipo, then click EDIT POST. 2. Ukiwa mahali unapoweza kuhariri post yako, sehemu ya chini kulia kuna vijisehemu vimeandikwa SAVE, GO ADVANCED, DELETE na CANCEL.
3. Bonyeza DELETE ili kufuta post yako.
Kuna wakati,chini ya user tag list kuliwekwa ID ya moderator wa jukwaa.Siku hizi sioni hicho kitu.Hii inakuwa ngumu kuwacontact mods,unless uwe unamfahamu mmojawapo.