Kibundi wa getto
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 455
- 875
Wakuu, naona siku hizi mtindo wa kuweka vigodoro kwenye makalio umeongezeka kwa kasi sana.Sasa hivi mjini kila msichana mzuri unakuta anachura, yani imekua ni shida mjini.
Utafiti wangu usio rasmi umegundua kuwa Chura nyingi ni feki, wanawake wengi wanavaa vigodoro.Sasa hivi ni mwendo wa vigodoro tu, Vera Sidika na Wema wanawachanganya.
My take
Jikubari mwanamke, kama mzuri mzuri tu... Na kama mbaya, mbaya tu...Aina haja ya vigodoro kuja kuumbuka kitandani.