Ukistaajabu ya Mussa...

Hao wote wanosema watu wasiseme maswala ya EPA namini hata wao wamo huko huko kwenye wizi wa fedha hizo, kwanini linawauma sana wana matatizo gani wawaache watanzania wawe huru kuongea na kujua yanayoendelea katika nchi yao. WIZI MTUPU!!!
 
Mh. Mahiza, CD muweke wenyewe, 'Eject button' muiondoe halafu muwaambie waandishi wa habari wabadilishe CD. wanachofanya waandishi ni kucheza muziki wanousikia toka kwenye CD mlioicheza. mngekuwa wasafi hata kucheza wasingecheza - mmelikoroga lazima mlinywe!
 
Back
Top Bottom