Ukistaajabu ya Musa.....kumbe men nao siku hizi hujiuza baa?

Kama wanawake wanaojiuza bado ni wanawake wanaume wanaojiuza nao ni wanaume vile vile. Na kama mnataka kupinga hiyo tabia pingeni kwa wanawake pia, badala ya kuonyesha kwamba wanaume ni bora zaidi hivyo wanatakiwa kununua na sio kujiuza, na wanawake wanafaa kununuliwa pekee na sio kununua.

Wote ni wafanya biashara, na kama biashara wanayofanya sio nzuri ichukuliwe hivyo kwa wote wanaohusika kuuza na kununua.

Asante Lizzy.... hiyo ndiyo mantiki ya mada.
Ati wanaume wanaojiuza siyo wanaume?! Na ni lini tuliambiwa wanawake wanaojiuza si yo wanawake?

Tabia mbaya akifanya mwanaume, wanamkana siyo mwenzao badala ya kumrekebisha!
 
heheheh DC bana!
Wanaume kwani wakoje? Nijuavyo wana ile bakora ya ajabu kama wengine. Hicho ndicho hutofautisha maana mavazi au style ya nywele si hoja siku hizi.Ndevu na kutokuwa na maziwa si hoja pia.

Hapana dada,

Bakora za kuchoonga na zile za bandia (za kichina) zipo tena za kumwaga na zinafanya kazi vizuri tu.....

Real MEN have masculine chemistry....Testosterone hormone which makes them stronger like petrous bones (miamba)!!!!

Hawa milegezo ni pseudo men....msiwachanganye na wanaume wa shoka!!

Babu DC!!!
 
Kama wanawake wanaojiuza bado ni wanawake wanaume wanaojiuza nao ni wanaume vile vile. Na kama mnataka kupinga hiyo tabia pingeni kwa wanawake pia, badala ya kuonyesha kwamba wanaume ni bora zaidi hivyo wanatakiwa kununua na sio kujiuza, na wanawake wanafaa kununuliwa pekee na sio kununua.

Wote ni wafanya biashara, na kama biashara wanayofanya sio nzuri ichukuliwe hivyo kwa wote wanaohusika kuuza na kununua.

dah!!!................. nilikuwa nimeziba masikio................. lakini kwa maneno haya nimesikia....................... we sister kichwa sana, .................. nitakutafuta unisindikize mahali.................
 
AK usisahau tu kunijulisha vazi la kutilia siku hiyo mapema.Lolz
 
utakanaje ukweli?
Ndo lishakuwa zigo lao
wahangaike nalo tu

wamama wamehangaika nalo wee
bila mafanikio
mwishowe wamezoea
wababa bado wako kwenye 'denial'

Haya ....wasiojua wamejua..wenye kukana wakane...ila habari ndiyo hiii
 
utakanaje ukweli?
Ndo lishakuwa zigo lao
wahangaike nalo tu

wamama wamehangaika nalo wee
bila mafanikio
mwishowe wamezoea
wababa bado wako kwenye 'denial'

So True!
Wababa wakiwa kwenye denial utawaonea huruma.
Men, welcome to the club lol....wake up!
 
Back
Top Bottom