Nimekipakua, ninapomalizia malizia hiki cha John Maxwell kinachoitwa 'How successful people think' ntakisoma hiki chako.Hiki kitabu ni challenging and very disturbing lakini kinaelezea mambo mazito ambayo sisi wachache tunaosoma tunaelewa... Karibuni waungwanaView attachment 1608852
Kinahusu mind control... Ni jinsi gani watu tunaendeshwa na mifumo pasipo sisi kujua...Nimekipakua, ninapomalizia malizia hiki cha John Maxwell kinachoitwa 'How successful people think' ntakisoma hiki chako.
Ila tuambie kinahusu nini kwanza!
Haya mambo yapo tu hata hapa hapa Bongo mbona. Ubongo unatabia ukisikia au kuona kitu mara kwa mara unaamini ndicho kizuri. Hii imekuwa ikifanyika kwenye kila kitu kucontrol bonadamu, kuanzia mziki, politics, fashion trend, n.k.Kinahusu mind control... Ni jinsi gani watu tunaendeshwa na mifumo pasipo sisi kujua...
Mzee naona hiki kitabu na wewe unatufanyia mind control methods. Yaani kimejaa ukatiri wa kutisha.Hiki kitabu ni challenging and very disturbing lakini kinaelezea mambo mazito ambayo sisi wachache tunaosoma tunaelewa... Karibuni waungwanaView attachment 1608852
kiweke hapa chiefNimekipakua, ninapomalizia malizia hiki cha John Maxwell kinachoitwa 'How successful people think' ntakisoma hiki chako.
Ila tuambie kinahusu nini kwanza!
kiweke hapa chief
Hapana mkuu ... Sio kuwafanyia mind control... Hata mwandishi mwenyewe katoa warning hapo kwenye preface[emoji16].. japo kuna ukweli mchungu sana ila ndio hivyo raha ya kusoma vitabuMzee naona hiki kitabu na wewe unatufanyia mind control methods. Yaani kimejaa ukatiri wa kutisha.
Hata hivyo nimejifunza kitu. Kumbe Duniani hakuna Mungu tunadanganyana tu. Huu uchafu hawezi kufanyika sehemu ambapo Mungu yupo.
Mkuu wewe msomaji umetoka na hitimisho hilo wakati Muandishi wa kitabu anasema :-Hata hivyo nimejifunza kitu. Kumbe Duniani hakuna Mungu tunadanganyana tu.