Ukisinzia tunakusachi !

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,481
Reaction score
8,605
Heshima kwenu wadau,

Nipo safarini kwenye dala dala naenda kumcheki mwana Tandika..

Mbele ya dala dala kwa ndani kuna bonge la tangazo " ukisinzia tunakusachi" na kumcheki huyo konda mwenyewe na dereva nimechanganyikiwa... Halafu usingiz unaninyemelea
 
Kazi kwako...amua moja kukata kiu ya usingizi usachiwe au kukomaa macho ili wasikusachi.
 
mi nilifikiri unabakwa kumbe unasachiwa kama vipi lala wajaribu waone si nasikia ulishaishi china.
 
Searching...100%
Loading...100%
Network Connected !

Near by Posta Mbeya.
 
Hata mimi nilidhani wanawinda kitobo utamu, kumbe sachi tu?
ni kuuchapa tu sasa ole wake niamke nimkute hajamaliza atataja majina yote ya kikristu na kiislamu bila kusahau ya jadi kwa makabila yote yaliyopo duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…