Kama wazee wote hamtaki kutoka mnang'ang'ana na maofisi kwann vijana wasipate tabu
Kama ningeweza unafanya Kaz miaka 5 unalipwa milion 2 kwa mwez ukimaliza kwenu wanaingia wengne tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndio mkuu magobole ya baruti nimeulia sana nguruwe pori pale andeniUllishawahi kutengeneza?
YAAH MKUU[emoji23] [emoji23] [emoji23] hii njia kwako ilileta mafanikio ya kuwa shortlisted?
Ya rangi ganYAAH MKUU
NyekunduYa rangi gan
Haya mambo ya bahasha wangachana nayo, kitu online unamaliza hata kama watu 1m unachora mstari.Job applications View attachment 1193394
Sijakuuliza wewe dadaNyekundu