Ukisikia mwanamke anakuambia thanks for caring ....

Ukisikia mwanamke anakuambia thanks for caring ....

mandokwa

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2013
Posts
620
Reaction score
865
ukisikia hilo neno jua:
1- umewakana ndugu zako na unamtimizia yeye na nduguze
2- unachunwa kirahisi than wanaume wenzako
3 - anakupush uingie mfukoni zaidi
4--umeshakuwa fala wake

jiulize yeye anacare kwakukupa nini? usanii mkubwa

Update:::
wanaume mnatakiwa mjue mkeo anawaza utakufa wewe na atabaki yeye na kila ulichochuma akitawale bila kujali hapo ulipo ni faida ya uwekezaji wa familia na ndugu wengi tu... ndio maana mara zote hupambana kukutoa karibu na nduguzo so that ajimilikishe.... naweza kusema 20% ya vifo vya wanaume husababishwa na wake zao kwa kukusudia au bila kukusudia.... wapo wanaume hurudi kwao usiku sio kwa kutaka bali tu husda na gubu za hao wapenzi wao ambao hawaridhiki na lolote zaidi ya kuwachunaaaaaa
 
ukisikia hilo neno jua:
1- umewakana ndugu zako na unamtimizia yeye na nduguze
2- unachunwa kirahisi than wanaume wenzako
3 - anakupush uingie mfukoni zaidi
4--umeshakuwa fala wake

jiulize yeye anacare kwakukupa nini? usanii mkubwa
Yawezekana kuna ukweli flani hivi!
 
Hadi siku hizi kuna wanaume wanapea wanawake hela na vitu kiasi hicho? Mwanamke mnunulie kinywaji na chakula kizuri then kula sepa sasa wewe unanunulia vitu unataka ujenge kibanda ili iweje au unataka kugundua nini, wanawake walivokua cheap kiasi hiki? kweli binadam tunatofautiana uwezo wa kufikiri
 
ukisikia hilo neno jua:
1- umewakana ndugu zako na unamtimizia yeye na nduguze
2- unachunwa kirahisi than wanaume wenzako
3 - anakupush uingie mfukoni zaidi
4--umeshakuwa fala wake

jiulize yeye anacare kwakukupa nini? usanii mkubwa
Sahihi mkuu
 
Inasikitisha sana...

Kama hizi taarifa ni za kweli...


Cc: mahondaw

Why don't I thank you for caring about me??? yes you care for me as your queen and I always thank you for this. Others hawapati hata hizo care wanazitamani sana am blessed to have those lazima nishukuru na Mungu akubariki mara elfuuuuuuuuuu .

You care for me kwenye mambo mengi sana Smart911 nikianza kulist hapa nitakesha na kamwe sitochoka kusema thank you for caring


Mahondaw wa Smart911
 
Ndio maana mnachapiwa nje mnakuja kulalamika jamii forum ooh kanisaliti,ooh nimekutana na Nguo za kiume kwake. Wafanyaje sasa mnadhani???? Wanawataka hao hao wa kuwaambia thanks for caring,caring is sharing
 
Back
Top Bottom