Wewe Kilaza huyo ni hadhi ya kina Nyerere siyo Magufuli.Lumumba was a freedom fighter!Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Yani leo nmekutana na jeuri sijawahi onaMwambie Mama awe na ukali kidogo huku mahospitalini kiburi kimerudi tena kwa watumishi wa kada hiyo
Unaangaika kumuelimimisha mtu anajiita sexless;binadamu hana sex!!!But man,
At least he showed us how the country can be governed...
Hizo barabara wilayani na taa za mitaa uliziona lakini
Ukali hautakiwi kwenye utumishi. Kwa mtu mtumishi mzembe hatua za kinidhamu huchukuliwa kwa mujibu wa kanuni, sheria na taratibu tulizojiwekea. Siyo lile jinga lilikuwa linatukana watu hadharani. Unataka turudi huko??Mwambie Mama awe na ukali kidogo huku mahospitalini kiburi kimerudi tena kwa watumishi wa kada hiyo
Ata Serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Stieglers uliasisiwa na Mwalimu Nyerere ila alitekeleza Dikteta,wanademokrasia wako walishindwa!World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.
Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.
Ndiyo . Jiwe atazungumziwa kama anavyozungumziwa Hitler, Bokasa, Idd Amin, Mobutu, n.kMagufuli naye atakuja kuzungumziwa na kizazi kingine kama unavyomzungumzia Lumumba leo.
JPM kafanya yake kasepa, tuendelee na Mama yenu!
Serikali haijawahi kumaliza kazi, Mama Samia ndio anatekeleza Sasa.Ata Serikali kuamia Dodoma na Ujenzi wa Stieglers uliasisiwa na Mwalimu Nyerere ila alitekeleza Dikteta,wanademokrasia wako walishindwa!
Mmejitahidi kumzika ila mzimu wake bado unawasumbua sana.Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa
Wewe utazungumzwa kwa lipi?kumkalia kitako kutwa mwanaume mwenzio japo unaitwa sexless!Ndiyo . Jiwe atazungumziwa kama anavyozungumziwa Hitler, Bokasa, Idd Amin, Mobutu, n.k
Sasa subiri matusiUkisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Yeye kaanzisha mradi gani?Serikali haijawahi kumaliza kazi, Mama Samia ndio anatekeleza Sasa.
Pole sanaYani leo nmekutana na jeuri sijawahi ona
nmekaa masaa nasuburi huduma mtumishi kaenda kula nje anarudi kwa madaha ntu naumwa sina hata nguvu..
aah tunateseka
Tukisema tujitathimini kama Taifa ni sekta hipi hasa tumepiga hatua kubwa kuliko nyingine? Na labda tujiulize kwanini sekta hiyo hiko vizur zaidi ya nyingine?World bank fund, DMDP project, wajinga kama wewe mpo wengi msiyojuwa lolote.
Ni Kikwete administration ndio hizo project zilikuwa raised, na utekelezaji ndio ukaangukia kipindi cha dikteta uchwara.
Anatekeleza ilani ya Ccm, tatizo hujui hata nchi inaongozwaje.Yeye kaanzisha mradi gani?
Hivi walihusika kumuua Lumumba ndiyo Belgium sio? Alafu leo wanatoa jina la barabara we unakenua meno!!!!Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
View attachment 2575597
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote iliyopewa jina lake. Legacy yake sifuri kabisa.
Zaidi ya kuficha hela huko china kwenye akaunti binafsi alifanya nn kingine??
Zaidi ya kupora, kuiba, kuteka, kuua, kupiga watu risasi na kutukana hadharani, alifanya nn kingine?
Zitto alishawaambia kuhusu saa 8 meenyekiti wenu ndye anajua mpango mzimaKama ben saa nane angekuwa ndugu yako usingeandika haya. Ubinafsi na ujima kama marehem muuaji vinakusumbua. Ila roho yako inakuhukum kuwa kuua kwa vile ni kubaya!
Bora lingekausha hazina lakin watu wakabaki na uhai wao.
"..injustice for one is injustice for all"
Soma hizi zama hazifananiKwangu mm uhai ni bora zaidi kuliko ktu kingine. Nafurahi Sasa
..watu hawatekwi tena,
..watu hawaporwi tena,
...watu hawapigwi risasi tena,
..atu hawaokotwi kwenye viroba tena.
Hata kama tutanunua kilo moja ya sembe kwa laki moja kama hayo maovu niliyoyataja hapo juu hayapo kwangu mm haina shida.