Nawasalimia kwa jina la DP world, bandari haitoki.
Leo naungana na hili la kushiba chakula/wali/ugali na kuhusishwa na kupungua kwa akili.
Ni hakika!
Ukishashiba ndipo mawazo ya kijinga huja, ndipo tamaa mbaya huja. Na hata kufikiria kunakuwa shallow mara nyingi.
Kwa hiyo solution ni je, tusishibe?