Ukishazaa tu ndo ujiachieee

umekaa nae ukamweleza haya uliyoyaandika hapa? Wadada/wanawake weng huwa wakishazaa ile kujitunza kunapungua nadhan ni kwa kudhan tayari wana mume so haina haja kujipendezesha. Zungumza nae kama ni muelewa atabadilika tu
 
Baadaye leo kama mtaonana mueleze haya bila kubakisha hata neno, labda jibu lake litakufungua akili zaidi na hivyo kutoahirisha kufunga naye pingu za maisha.


 
Last edited by a moderator:
Mleta mada hujapevuka kiakili,wiki mbili tu baada ya mtu kujifungua unatapika namna hii.Tafuta msaidizi au kunja mgongo mwenyewe ufanye hizo kazi.
 
mpe muda kaka,atabadilika,tafuta maneno mazuri ya upole umwambie ukweli,ila angalia asiyapokee negative,ikiwezekana pale anapokosea mrekebishe,umfulie,akisahau kuvaa bra mkumbushe na umnunulie kama ni nguo zake zakukera
 
Wiki 2 tu unalalama hivi,mpe mwenzio muda wa kupona vizuri na mtafutie msaidizi anahitaji muda mwingi wa kupumzika.kuwa makini usimsababishie stress coz itaathiri upatikanaji mzuri wa maziwa.
 
Hahahaha hiyo kiboko. Hata ikitokea nikazaa na mwanamke nje ya ndoa lazima awe anajitambua na nimfaham vizuri... naona ushakuwa na dought hapo, na mtoto ndio anawaunganisha, Je utavumilia huyo kuwa mkeo wa maisha na ushaanza kulalamika hivo?
 
Nashukuru wangu hayuko hvyo ila anachoka sana full usingizi mpaka nahis hainjoy mambo yetu kabisa...japo ile mang'ana bado tamu ila anawah kuchoka sana,na hawez kukuanza so nikiuchuna hata wiki inaisha,Kua uyaone.
 

U have a point, zingatia hili mkuu
 
Shinda na mtoto for 2 days utam respect huyo mwanamke. Sio kazi rahisi. Wewe unafanya nini kumsaidia au ndo unaweka ke.nde zako tu infront of the tv ukirudi home?! Give her a break yeye mwenyewe ana mtoto wa kumhudumia bado ajihudumie yeye na wewe pia. Unataka atoke chicha, akupikie matembele yaloenda shule na umkute mtoto msafi na kanyonya kashiba. Have a heart ana hitaji muda wa kuji adjust na apatiwe a good support system.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…