LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 26,797
- 41,289
Kuna member anajiita ice breaker naye alilalamika kuigwa id yake kimfanano. Wengine huiga avator ileile. Shangaa hii, Panasonic na Panasoanic, moja ni kweli na nyingine ni bosheni tu, ukiingia kichwakichwa bila kuwa makini utaliwa. Lucas wa ukweli anaandika kichawa sana, wameamua kumkomesha juu kwa juu