Lucas mwashamba
Member
- Jul 30, 2025
- 97
- 324
Ndugu zangu watanzania ukweli Leo nimebubujikwa na machozi mengi ya furaha baada ya kuona Wana JamiiForums wenzaungu wamenisamehe na kuniona mi ni mwenzao na ukweli nimetubu dhambi zangu mana nilikuwa nimechagua njia ya uovu na Sasa nimerudi kwenye njia ya haki na naimani sitapotea Tena ndugu zangu watanzania
Mniombee ndugu yenu mpambanaji wenu na naapa tarehe 13 nitakuwepo kisutu kufatilia kesi ya shujaa wetu raisi wetu kipenzi chetu na baba yetu TUNDULISU naomba watanzania wote kwa ujumla tumuombee Dua mkombozi wetu mana anaenda kuachiwa na kuwa huru na kwenda kuchukua ikulu nami nimechagua njia ya haki na naombeni ndugu zangu rafiki zangu kaka zangu dada zangu tuungane kumtetea shujaa wetu TUNDULISU
Maana ndo mkombozi wetu na hakika furaha aliyokua nayo gerezani Kuna mtu yupo uraiani Hana basi itoshe kusema lisu ndo kiongozi anayetufaa watanzania wapenda haki na usawa wa kisheria Mungu Ibaliki CHADEMA mungu mbaliki TUNDULISU Mungu Ibariki TANZANIA