Mwakamajoka
Senior Member
- Nov 21, 2017
- 170
- 149
Mkuu sio kweli kwa 100% hicho unachokisema, kwasababu Ukraine hata kwenye nchi thelathini zinazoongoza kwa uzalishaji wa gesi haipo. Anazidiwa hata na Nigeria. Ukraine anashika nafasi ya 32 duniani.Urusi wenyewe integemea gesi toka Ukraine
Asante sana Mheshimiwa kwa kuchangia.Mbona hamna la kushangaza hapa? ni sawa na NK wanavyofanya biashara Uchina kupitia visiwa vya Macau na over seas companies etc..sasa la kustaajabisha ni ?! au labda ndio sielewi kiswahili?
Hivi unadhani gesi ni sawa na mahindi kwamba mkulima anafaidi msimi was kwanza?Kwa sasa Tanzania ndio inaongoza kati ya Nchi inayo chimba Gesi na bado haiwanufaishi Wananchi wake ipasavyo...
Nimenena hili nikiwa tayari nina utafiti, yawezekana pia tuko katika msimu wa kwanza ili rasilimali kama Dhahabu na Utalii viweze kutubadirishia Maisha...!Hivi unadhani gesi ni sawa na mahindi kwamba mkulima anafaidi msimi was kwanza?
Wewe unafahamu hivyo vikwazo vililenga sekta gani na kwa ukubwa gani?..Maana unweza kuweka vikwazo kwenye gas kwa kiwango fulani na kiasi ukaachia.Huwezi ku block 100%....Unashangaa kwa sababu hujui terms kwenye ile package ya vikwazo.Hata N.K siyo kila kitu amezuiwa kuuza,ni vitu fulani kwa kiasi fulani.Asante sana Mheshimiwa kwa kuchangia.
Cha kushangaza hapa ndugu yangu ni kwamba, Three Supper Powers on Earth United Kingdom, USA and France ndio mabingwa wa kuweka na kusimamia vikwazo vya biashara dhidi ya Urusi lakini hi leo wamekubali kufanya biashara ya gesi na Urusi.
1: Marekani kuuziwa gesi na Urusi (Amewekewa vikwazo na Umoja wa mataifa na umoja wa Ulaya)
2: Uingereza kuwa njia ya kusafirisha gesi hiyo toka Urusi, ambae ni kisiki ndani ya Umoja wa mataifa tena ni rafiki na ndugu wa karibu kabisa wa Marekani wote kwa pamoja walipigia debe vikwazo dhidi ya Urusi.
3: Meli inayomilikiwa na kampuni ya Ufaransa kusafirisha shehena hiyo ya gesi mpaka Marekani.
4: Hapo hapo Washington inasema inaendelea na mpango wa kumdhibiti Urusi kuwa muuzaji mkubwa wa gesi katika bara la Ulaya.
Kwa North Korea kufanya anachokifanya mi naona kawaida sana kwasababu mafuta yanatoka kwa usiri kwa rafiki zake China, Urusi na mataifa mengine ambao ni watukutu kama yeye.
Ishu hapa ni kwamba adui kufanya biashara na adui.
Duuu....wewe uko sayari nyingine kabisaUrusi wenyewe integemea gesi toka Ukraine
Nimenena hili nikiwa tayari nina utafiti, yawezekana pia tuko katika msimu wa kwanza ili rasilimali kama Dhahabu na Utalii viweze kutubadirishia Maisha...!
HahahahaHivi unadhani gesi ni sawa na mahindi kwamba mkulima anafaidi msimi was kwanza?
hata hicho kilimo hufaidi msimu wa kwanza mkuu.Hivi unadhani gesi ni sawa na mahindi kwamba mkulima anafaidi msimi was kwanza?
Katika vilaza jf wewe ndiye kiongozi waoUrusi wenyewe integemea gesi toka Ukraine
Madini yanakwisha tumeachiwa mashimoNimenena hili nikiwa tayari nina utafiti, yawezekana pia tuko katika msimu wa kwanza ili rasilimali kama Dhahabu na Utalii viweze kutubadirishia Maisha...!