Ukishangaa ya Selasini utayaona ya Shibuda!!!

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Thanks God nafutilia bunge hili kwa kina, jambo la kusikitisha ni kwa wabunge hao wawili wa CDM Shibuda na Selasini!!!!! naona kuna kitu wanakitafuta CDM, Viongozi wawe macho na watu hao, watu hao kwa uzoefu ni wenye uwezo wa wastani katika kujenga na kutetea hoja. Naomba next election wapiganaji wa ukweli ndio pekee wapitishwe kwenye ugombea ubunge, watu wenye msimano, wenye kujenga hoja kwa kina na wenye kutetea haswa maslahi ya Taifa letu!
 
Back
Top Bottom