Kingekufa mara ngapi, kifo huwa ni kimoja tuNasema hivi kama sio Magufuli kujitoa mhanga kwa chama hiki kuchukua Uongozi kuogmbea Urais mwaka 2015, hiki chama kilikuwa kimekufa kabisa! Ati leo hii kuna watu wanadiriki kabisa kujivunia Chama ilihali wakimnanga Mwendazake! Hawa ndio wale waitwao mitume wa uongo!
Hii nchi inachekesha sana. Kweli leo hii kuna watu wanaupigia upatu na mfano utawala wa Magufuli??Maelezo mareefu! Pointi hakuna. Zaidi ni vijembe tu.
Ungejua maana ya aupatu wala usingeweza jenga hoja. Kifupi, kulaani utawala wa Magufuli ni sawa na walolaani utawala wa Ghadaff huko Libya. Miafrika kama Punda bila bakora haiendi..Hii nchi inachekesha sana. Kweli leo hii kuna watu wanaupigia upatu na mfano utawala wa Magufuli??
Kinge ina maana ponapona, chupuchupu, mtoto alookolewa toka shimo la choo! Kiswahili lugha nyepesi sana..Kingekufa mara ngapi, kifo huwa ni kimoja tu
Unamiliki na ufahamu wa watu wengine? Kama sijui maana ya "kupigia upatu" unadhani ningeandika. Ghadaff ana maajabu gani ya kusifiwa. Ama kule kuponda kwake maraha Ulaya na wale wasichana ndiyo jambo ya kusisimua?Ungejua maana ya aupatu wala usingeweza jenga hoja. Kifupi, kulaani utawala wa Magufuli ni sawa na walolaani utawala wa Ghadaff huko Libya. Miafrika kama Punda bila bakora haiendi..
Kamsifie Zamaradi basi, nyie waumini wa Wachungaji na maji ya upako tutawaeleza nini?Unamiliki na ufahamu wa watu wengine? Kama sijui maana na "kupigia upatu" unadhani ningeandika. Ghadaff ana maajabu gani ya kusifiwa. Ama kule kupnda kwake maraha Ulaya na wale wasichana ndiyo jambo ya kusisimua?
Mifano ya viongozi bora kwa Afrika haipaswi kuwa Magufuli na Ghadafi.
Ungejua maana ya aupatu wala usingeweza jenga hoja. Kifupi, kulaani utawala wa Magufuli ni sawa na walolaani utawala wa Ghadaff huko Libya. Miafrika kama Punda bila bakora haiendi..
Bado unarudia kosa lile lile. Wewe humiliki hisia na fahamu za watu wengine. Mimi nimsifie Zumaridi kwa lipi la maana alilonalo?Kamsifie Zamaradi basi, nyie waumini wa Wachungaji na maji ya upako tutawaeleza nini?
Hahahaha sasa CCM imewafanyia nini Wananchi? Kama shule za kata tumezisikia toka Lowassa akiwa makamu wa rais, miradi ya umeme na maji kufika vijijini yote ya Magu! Ufisadi umerudi kama zamani kina Symbion IPTL wote wanavuta hela, miradi haikamiliki bado waumini wa Wachungaji mnaenda kanisani...kwikwikwi!Bado unarudia kosa lile lile. Wewe humiliki hisia na fahamu za watu wengine. Mimi nimsifie Zumaridi kwa lipi la maana alilonalo...
Hahahaha sasa CCM imewafanyia nini Wananchi? Kama shule za kata tumezikoa toka Lowassa akiwa makamu wa rais, miradi ya umeme na maji kufika vijijini yote ya Magu! Ufisadi umerudi kama zamani kina Symbion IPTL wote wanavuta hela, miradi haikamiliki bado waumini wa Wachungaji mnaenda kanisani...kwikwikwi!
Ebu nipe mifano kwa ushahidi, maana kusema rahisi sana! Mama Samia kabadilisha viongozi wateule 200 na bado watu wanapiga hela! Uwajibikaji unazidi kupungua, vilio vyenu mnavileta hapa JF....usiseme ufisadi umerudi kana kwamba kulikuwa hakuna mafisadi wakati wa Magufuli.
..sema mafisadi wa wakati wa Magufuli wanabadilishana nafasi na mafisadi wa utawala wa Samia.
Ebu nipe mifano kwa ushahidi, maana kusema rahisi sana!
Unakumbuka Magufuli alibadilsha wakurugenzi wa Halmashauri 120 kwa wakati mmoja na bado ripoti ya CAG ikaonesha kuwa huko kwenye Halmashauri hela zinaliwa kama mchwa wanavyokula fito zilizojengea nyumba ya udongo??Ebu nipe mifano kwa ushahidi, maana kusema rahisi sana! Mama Samia kabadilisha viongozi wateule 200 na bado watu wanapiga hela! Uwajibikaji unazidi kupungua, vilio vyenu mnavileta hapa JF..
Ebu nipe mifano kwa ushahidi, maana kusema rahisi sana! Mama Samia kabadilisha viongozi wateule 200 na bado watu wanapiga hela! Uwajibikaji unazidi kupungua, vilio vyenu mnavileta hapa JF..