mshana org
JF-Expert Member
- Jan 28, 2012
- 2,091
- 618
kuanzia 2 yananihusu ngoja nijitahd kuacha.asante ubarikiwa kutuelimisha
Bibie ummu kulthumunatuonea sana sie washahili umeanza vizuri nje ndani ukaweka kizungu ninamatatizo na hii lugha ze zi wa nyingi af sielewei by z wy shukran
Kwa hivyo tufanyeje sasa mkuu?Na kwa wale wazee wa malavidavi ukuingia kwenye game mara tu baada ya kula waweza aibika kwa kucheza chini ya kiwango sababu damu nyingi inakuwa kwenye alimentary canal uume waweza shindwa kusimama.
Pumzika kuanzia dak 45. Hapo tayari asilimia kubwa ya chakula ipo kwenye mwili sio tumboni, hata mwenyewe utajiona upo fit.Kwa hivyo tufanyeje sasa mkuu?
Kwa maana kadri unavoacha gepu kubwa baina ya kula na mapenzi ndo damu inaelekea zaidi kwenye uume na kufanya ufanisi uwe mkubwa?Pumzika kuanzia dak 45. Hapo tayari asilimia kubwa ya chakula ipo kwenye mwili sio tumboni, hata mwenyewe utajiona upo fit.
Maji hayana shida, ila kunywa kidogo kidogo.Kwa maana kadri unavoacha gepu kubwa baina ya kula na mapenzi ndo damu inaelekea zaidi kwenye uume na kufanya ufanisi uwe mkubwa?
Na vipi kunywa maji kisha hapo hapo ukaenda kitandani?
Kuna madhara yapi kunywa mengi mkuuMaji hayana shida, ila kunywa kidogo kidogo.
Unataka uishi miaka mingi wewe kobe? Utawapa shida watoto wajukuu zako kukutoa nje kukuanika kila siku. Ishi miaka 70 ya Mungu na bonus isiyozidi miaka 7-10-ondoka acha gap kwa wengine! Serikali lenyewe hili halijali wazee!
Mimi namba moja(1) zingine zote huwa naufuata2 na 7, yaani acha tu, nitawezaje kuacha ?
Nikika tuu kiberiti na fegi viko karibu yangu, hafu eti don't Mimi hapaba hapa aseee nice tuuMie naona sasa hii dunia ni mchanganyiko wa mambo yaani kila kitu huyu anasema hiki huyu kile! Siku zote nimekuwa nikifanya mambo vile mwili unataka kama kufa mapema wacha nife sababu siwezi nyima mwili ile kitu inapenda...nikijisikia kunywa maji nitakunywa bila kujali muda gani ili mradi najisikia kufanya hivyo its ok...naamini nguzo kubwa ya uhai wangu ni kile ninachoamini mimi na si maono na mitazamo ya watu wengine...tusiwe wepesi wa kuamini kila tusomacho kwenye mitandao.
Mi nashangaaa familia ya daktari wameisha kwa kipindu pinduyou're right lkn si kila kitu ni kweli mkuu...miili yetu inatenda kazi kutokana na mazingira tunayoishi. Health tips nyingi zimekuwa za kimagharibi mno na ninaamini zote si za kweli.