johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,597
- 142,908
Falsafa ya Kisasi ni pana ndio sababu Yesu Kristo aliposulubiwa na Wayahudi alisema " Baba Uwasamehe hawajui Walitendalo"
Sisi Wakristo tunaamini Kisasi ni cha Mungu siyo chetu ndio Yesu Kristo aliwasamehe kwanza Wayahudi kisha akawaombea msamaha kwa Mungu wa mbinguni
Waislamu wao wanalipa Kisasi na anakuahidi kabisa na akishalipa mnakuwa mmemalizana kwa hapa Duniani na hilo jambo analifuta moyoni mwake
Ukisema Sitalipa Kisasi ni sawa na kusema " nimekusamehe lakini Sitasahau" sasa kwetu Wakristo Msamaha hauna Masharti kama ulivyo Upendo wa agape. Kusamehe ni Kuachilia
Hivyo Mwanasiasa ukisema Sitalipa Kisasi inabidi uende mbali zaidi kwamba Nimesamehe na nimesahau
Jumaa Mubarak 😀