Ukiruka stage katika ukuaji

Kweli haya ni matatizo ya kuvuka stage!!!
 
mbona anaonekana kama karukwa na akili...
 
Haaah haaaa! kyalankota, ujue Le-Mutuz anatuita uncle, si ni mdogo wa the late Ipyana Malecela? Ughonile nkamu?

Ughonile ndagha kikolo! Nafahamu sana ni mpwa wetu ila kubwa jinga sana hili jitu! Ni aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…