Ukiruka stage katika ukuaji

Yaani huyu ni zaid ya moko..... au kaboka mchizi.
 
Wabongo tunakuwa wabunifu utotoni umri ukiongezeka na akili zinayeyuka. Sidhani kama watoto wa kizungu wanatengeneza hizi toys
 
Kwa jinsi anavyoendesha hilo gari huyo jamaa atakuwa hana leseni
 
Speed 120 shaa aisee mwambie apunguze atapata ajali
 
Mmmmh!! alikuwa anamjaribia mwanae kama inatembea vizurii, ha ha ahahaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…