SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,923
- 2,002
Hivi ni makusudi au basi tu.wale mnaopita pale kwenye mataa ya Buguruni ile barabara inayochepukia Vingunguti/ Tabata Chan'gombe mtapofika eneo lile la daraja mtaiona hii kero nisaidieni kuipiga picha na muipost. Hata nyie mnaolekea Ubungo ukivuka tu mataa kabla ujalifikia daraja utakiona cha kukipiga picha. Wahusika labda wataamka na kuliondoa dampo lile lililo barabarani linaharibu dhana nzima ya kuifanya Dar kuwa safi.
Hizo hapo.
Hizo hapo.