Ukipita Daraja la Buguruni piga picha kero utakayoiona

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,917
1,992
Hivi ni makusudi au basi tu.wale mnaopita pale kwenye mataa ya Buguruni ile barabara inayochepukia Vingunguti/ Tabata Chan'gombe mtapofika eneo lile la daraja mtaiona hii kero nisaidieni kuipiga picha na muipost. Hata nyie mnaolekea Ubungo ukivuka tu mataa kabla ujalifikia daraja utakiona cha kukipiga picha. Wahusika labda wataamka na kuliondoa dampo lile lililo barabarani linaharibu dhana nzima ya kuifanya Dar kuwa safi.

Hizo hapo.
IMG_20191122_141804_0.jpeg
IMG_20191122_141814_0.jpeg
 
Nipo kwenye daladala naanzaje kumwambia dereva asimamishe gari ili nipige picha? Mi naona wenye magari watatusaidia
 
Deceiver
usiwe unaweka maneno yako ya nyongeza kwenye comment za wengine
that is totally unacceptable..
 
Pengine mpaka Rais apite ndiyo Mkuu wa Mkoavataamka.
Mi kwa kweli namsifu mkuu wa mkoa anajitahidi kwenye kuifanya dar iwe safi kuna watu wachache hawasimam sawa sawa.kuna watu wanachojua ni kuwategea watu tu uko jangwani na k.koo kusubiri watu wakojoe au watupe viganda vya vocha wawatoze fain wakat kaz iko kubwa ya kuiweka dar safi kwanza kupitia hao vijana wakamataji kabla ya kujazana kat kat ya mji kuvizia watu.
 
Hivi ni makusudi au basi tu.wale mnaopita pale kwenye mataa ya Buguruni ile barabara inayochepukia Vingunguti/ Tabata Chan'gombe mtapofika eneo lile la daraja mtaiona hii kero nisaidieni kuipiga picha na muipost. Hata nyie mnaolekea Ubungo ukivuka tu mataa kabla ujalifikia daraja utakiona cha kukipiga picha. Wahusika labda wataamka na kuliondoa dampo lile lililo barabarani linaharibu dhana nzima ya kuifanya Dar kuwa safi.

Hizo hapo.View attachment 1269103View attachment 1269104
Sisi waafrika kwa uchafu tu tunakera
 
katika jambo ambalo MKUU WA MKOA lingemjengea heshima ni wakati ule alipoanzisha mada ya usafi, na wananchi kukubali kufanya usafi kila jumamosi.....hata mimi binafsi nilitongozekaaaa....changamoto ikaja kuhamisha taka, kwenda puguu, nadhani wakandarasi walopewa, wanatakiwa kusema UKWELI kuhusu gharama....

Mi nawaza kwa DSM, wenye magari ya kubeba mchanga aka MENDE...mfano akaja Buguruni .wananchi wakajitolea pakiza uchafu huooo, na kupewa hela ya mafuta 50ooo - 100ooo kwa wale wanaoelekea PUGU, watapunguza tatizo
Pia zipo gari za kubeba mzi

SIKUPENDA swala la kufungua maduka saa nnee.....ila twaweza AMBIA wafanyabiashara wakafanya usafi ijumaa jioniii kukusanya taka...Jumamosi wawahi saa moja wamalizie usafi na KUFUNGUA saa mbilii ama saa moja na nusu

NB WAFANYABIASHARA WAKIKOSA RIZIKI ===== TRA nayo YAKOSA MAPATO.....uendeshaji wa nchi nao wazidi kuwa mgumuuu 😷 🌛
 
Raisi wa Dar ni timu yake wako busy na kumsifia .Kesho atawaita waendesha daladala kutoa tamko la kusifia mpaka anamaliza tuko kipindi cha pili.Na watanzania ni wachafu jamani
 
Hivi ni makusudi au basi tu.wale mnaopita pale kwenye mataa ya Buguruni ile barabara inayochepukia Vingunguti/ Tabata Chan'gombe mtapofika eneo lile la daraja mtaiona hii kero nisaidieni kuipiga picha na muipost. Hata nyie mnaolekea Ubungo ukivuka tu mataa kabla ujalifikia daraja utakiona cha kukipiga picha. Wahusika labda wataamka na kuliondoa dampo lile lililo barabarani linaharibu dhana nzima ya kuifanya Dar kuwa safi.

Hizo hapo.View attachment 1269103View attachment 1269104
Nina harakati binafsi inaitwa rula ya jamii yaani inashughulikia mambo yakijamii situmwi na mtu ila nikiona ni kero naiingia kichwakichwa najaribu ku solve Mona yaniliyowahi kuivamia nihiyo ya hizo takataka hapo buguruni hapo mataa na kunakipindi pale rozana katikat ya kituo Cha daladala walikua wanamwaga nilifika mpaka kwa afisa mazingira kata buguruni nikamwambia akasema ataliweka sawa ilikua mwaka juzi Kama sio Jana lakin msimu huu wa matunda utaona Tena ngoja nitaenda Tena mkuu... Angalia harakati hyo YouTube seach rula ya jamii official.
 
Big up mkuu nitacheki.lengo letu ni kuwakumbusha wahusika wawe makini.
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom