Ukipiga picha ya Uchi, unastahili kusitiriwa?!

Ukipiga picha ya Uchi, unastahili kusitiriwa?!

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
58,049
Reaction score
134,354
Maadili ya Mtanzania mbele

Kumekuwa na wimbi la wadada zetu kupiga picha au kuwa wepesi wa kushawishika kupigwa picha za uchi.

Inashangaza sana Kwa mtu mwenye akili timamu anafikiaje maamuzi haya akijua kabisa hana control na chombo cha mpigaji au mtumiwaji.

Picha ikirushwa kwenye mamitandao zinakuja kesi za "kusitiriana"! Tuwa wakweli, Kama mtu kajitoa ufahamu, anayosifa ya KUSITIRIWA?
 
Yaliwai kunikuta kwa mchepuko.Nikamtania "baby nimemis k yako na chuchu zako".Dakika hiyo akajipiga na kuntupia!daadek nilimwendea jioni tukafutiana hayo mapicha,nikamuonya siku yakivuja mi simo
 
Hapaswi kusitiriwa...
Alijitoa ufahamu kupiga picha hizo sasa anaomba Poo Au SUB ya nini?
 
ili kukomesha huu ujinga hakuna kusittiri mtu hata kama ni dada yako
 
big NOOOOOOOOOOO, Stara inaanza kwako mwenyewe, jistiri usitirike.
 
Maadili ya Mtanzania mbele

Kumekuwa na wimbi la wadada zetu kupiga picha au kuwa wepesi wa kushawishika kupigwa picha za uchi. Inashangaza sana. Kwa mtu mwenye akili timamu anafikiaje maamuzi haya akijua kabisa hana control na chombo cha mpigaji au mtumiwaji. Picha ikirushwa kwenye mamitandao zinakuja kesi za "kusitiriana"! Tuwa wakweli, Kama mtu kajitoa ufahamu, anayosifa ya KUSITIRIWA?
Hapana
 
Katika mahusiano watu wanajitoaga ufahamu....hiyo ni hatari sana..

Kweli, inabidi wawe makini sana, na hasa kutokana na hili wimbi la matumizi mabaya ya mitandao katika wakati tulionao.
 
Wenye nazo hembu endeleeni tu kuzirusha,tena ikiwezekana kwa baba zao,watajifunza tu. Kwa sauti ya pinda,tumechoka.
 
Yaliwai kunikuta kwa mchepuko.Nikamtania "baby nimemis k yako na chuchu zako".Dakika hiyo akajipiga na kuntupia!daadek nilimwendea jioni tukafutiana hayo mapicha,nikamuonya siku yakivuja mi simo

Mwanamke akipenda anakuwa kama mwehu aisee!!!!
 
Hapaswi kusitiriwa...
Alinitoa ufahamu kupiga picha hizo sasa anaomba Poo Au SUB ya nini?


Hawa mabinti hayo hayawaumizi sana sema jamii iliyowazunguka ndo inayopata shida.Kama mwanao anatoka nyumbani amevaa kinguo kinachokaribia kulingana na hand-kerchief na anazunguka mjini hivyo ataonaje aibu kupigwa picha akiwa uchi. Kuna msanii mmoja amewahi kusherekea siku ya kuzaliwa kwake akiwa amevaa pampas tu mbele ya umati wa watu walioalikwa. Sehemu kubwa ya wanawake(siyo wote) kuonyesha viungo vyao wanaona ni kama ufahari.
 
Yaliwai kunikuta kwa mchepuko.Nikamtania "baby nimemis k yako na chuchu zako".Dakika hiyo akajipiga na kuntupia!daadek nilimwendea jioni tukafutiana hayo mapicha,nikamuonya siku yakivuja mi simo

kwahiyo ulikua wamjaribu tu ye akafanya kweli......
 
Mahusiano yenyewe ndiyo haya ya zima moto,siku mambo yakilipuka mpaka zima moto wafike ushaadhirika.Hivi kama kweli mtu anakupenda kwanini umrushie au akupige picha za uchi, hapo kuna upendo kweli?
 
Hivi kweli mtu mzima na akili zako tena wengine na watoto juu wanapiga picha za uchi huu ni ujinga uliopitiliza dawa Yao ni kuyatundika tu hiyo mabwambwali Yao mtandaoini ili hata mitoto Yao na mijukuu yao Ije Ione uchizi ya wazazi wao.pumbavu kabisa
 
Back
Top Bottom